CHADEMA hawana mkakati, endeleeni na shughuli zenu

ZeMarcopolo

Platinum Member
May 11, 2008
14,013
7,209
Kuna kundi la wafuasi wa CHADEMA ambao wamehadaika kuwa kuna mkakati wa ndani unafanywa na viongozi wa chama hicho baada ya kutoridhika na kushindwa uchaguzi.

Hata hivyo, ukifuatilia mijadala inayoendeshwa na viongozi wa CHADEMA, utagundua kuwa hivi sasa wanajihusisha zaidi na masuala ya bunge. Aliyekuwa mgombea wa urais naye "ameingia mitini".

Wote tunajua kuwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, hapendi kuchelewesha mambo. Ndio maana alitaka matokeo uchaguzi toka sehemu mbalimbali nchini yatangazwe bila kucheleweshwa. Kitendo cha yeye kuchelewa kutoa vidhibiti au kauli yoyote ni ishara tosha kuwa aidha vidhibiti hivyo havipo au "amekubali yaishe".

Ushauri ninaowapa wafuasi wa CHADEMA wanaongoja mkakati wowote kuhusiana na uchaguzi mkuu uliopita ni kwamba, endeleeni na shughuli zenu za kila siku. Hakuna mkakati wowote ndani ya chama. Viongozi wanajadili kugombea uongozi wa upinzani bungeni n.k.

Kwa viongozi wa CHADEMA. Wapeni mwongozo wafuasi wenu. Maamuzi yoyote mnayoyafikia ni vyema mkayatoa kwao hata kama mnahisi ni maamuzi DHAIFU. huo ndio uongozi. Mkishindwa kabisa waambieni, wategemee nini na lini.

Wangu kwenu ni ushauri tu!
 
Hizo ni kauli za kujihami kwa ccm,ndugu fanya ya chama chako na tuachie ya chama chetu tuamuwe wenyewe kama ni ushauri kautoe ktk chama chako ccm na mjiulize kwnini mwaka huu ni ushindi wa kuchakachuwa tena kwa 61....% huoni kuwa nyie ndio mna kazi kubwa ya kufanya,na ole wenu chenge awe spika na rostam awe waziri mmekufaaaaa ccm.

Chadema tupo na tunaweka mikakati ya ushindi 2015 na jinsi ya kuwawakilisha wananchi ktk bunge lijalo,sijui wewe na chama chako mmejiandaaje na changamoto za kina tundu lisu,kabwee,mr sugu,dr slaaa,mnyika,mdeeee,na yule mliye tia kitanzi ccm akachukuwa ubunge chademaaaa? Poleni na wananchi tumechoka tunaandaaa kaburi tu la ccm kama huamini ebu angalia ule ushindi wa kishindo mliokusudia uko wapi? Hiyo ni salaam tu mkuuuuuuuu,na tunachoshukuru wasomi wote sasa ni kwetu aahaahahhaahh,nawaonea huruma sana

mapinduziiiiiiiiiii daimaaaaa
 
Endelea kusilikilizia tuu chadema bado utasikia mengi watu hawajalala wanafanza mambo na si waropokaji wanaweka mambo sawa !
 
Kuna kundi la wafuasi wa CHADEMA ambao wamehadaika kuwa kuna mkakati wa ndani unafanywa na viongozi wa chama hicho baada ya kutoridhika na kushindwa uchaguzi.

Hata hivyo, ukifuatilia mijadala inayoendeshwa na viongozi wa CHADEMA, utagundua kuwa hivi sasa wanajihusisha zaidi na masuala ya bunge. Aliyekuwa mgombea wa urais naye "ameingia mitini".

Wote tunajua kuwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, hapendi kuchelewesha mambo. Ndio maana alitaka matokeo uchaguzi toka sehemu mbalimbali nchini yatangazwe bila kucheleweshwa. Kitendo cha yeye kuchelewa kutoa vidhibiti au kauli yoyote ni ishara tosha kuwa aidha vidhibiti hivyo havipo au "amekubali yaishe".

Ushauri ninaowapa wafuasi wa CHADEMA wanaongoja mkakati wowote kuhusiana na uchaguzi mkuu uliopita ni kwamba, endeleeni na shughuli zenu za kila siku. Hakuna mkakati wowote ndani ya chama. Viongozi wanajadili kugombea uongozi wa upinzani bungeni n.k.

Kwa viongozi wa CHADEMA. Wapeni mwongozo wafuasi wenu. Maamuzi yoyote mnayoyafikia ni vyema mkayatoa kwao hata kama mnahisi ni maamuzi dhaifu. huo ndio uongozi. Mkishindwa kabisa waambieni, wategemee nini na lini.

Wangu kwenu ni ushauri tu!
Washuri CCM wampitishe Chenge uspika akawalinde mafisadi bungeni.
 
Chadema ni watu makini na lazima ujue kuwa kimya kingi kina mshindo mkubwa
 
We endelea kula mezani kwa Rostam na tuachie Chadema yetu. Mambo ya Chadema yetu yakuhusu nini wewe mwanah...........?
 
Washuri CCM wampitishe Chenge uspika akawalinde mafisadi bungeni.
Wakimpitisha Chenge atakikimbia kiti hicho kwa nguvu za wananchi wenyewe. Maana hata six alijaribu yakamshinda. Mmesahau alipoanza kudharau nyaraka za Zitto kuwa ni za mtandaoni lakini akaingia kabatini alipogundua kuwa ni za kweli?
Chenge asidhani amekwenda shule yeye tu. Sheria imelala kwa wengi na uovu wa namna yoyote hautavumiliwa kwa nguvu zetu zote.
 
Kuna kundi la wafuasi wa CHADEMA ambao wamehadaika kuwa kuna mkakati wa ndani unafanywa na viongozi wa chama hicho baada ya kutoridhika na kushindwa uchaguzi.

Hata hivyo, ukifuatilia mijadala inayoendeshwa na viongozi wa CHADEMA, utagundua kuwa hivi sasa wanajihusisha zaidi na masuala ya bunge. Aliyekuwa mgombea wa urais naye "ameingia mitini".

Wote tunajua kuwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, hapendi kuchelewesha mambo. Ndio maana alitaka matokeo uchaguzi toka sehemu mbalimbali nchini yatangazwe bila kucheleweshwa. Kitendo cha yeye kuchelewa kutoa vidhibiti au kauli yoyote ni ishara tosha kuwa aidha vidhibiti hivyo havipo au "amekubali yaishe".

Ushauri ninaowapa wafuasi wa CHADEMA wanaongoja mkakati wowote kuhusiana na uchaguzi mkuu uliopita ni kwamba, endeleeni na shughuli zenu za kila siku. Hakuna mkakati wowote ndani ya chama. Viongozi wanajadili kugombea uongozi wa upinzani bungeni n.k.

Kwa viongozi wa CHADEMA. Wapeni mwongozo wafuasi wenu. Maamuzi yoyote mnayoyafikia ni vyema mkayatoa kwao hata kama mnahisi ni maamuzi dhaifu. huo ndio uongozi. Mkishindwa kabisa waambieni, wategemee nini na lini.

Wangu kwenu ni ushauri tu!

Dogo ukiona kimya ina maana wamekubali walishindwa ..Watani zangu wale wanaopendaga kujinyonga kule nyanda za juu wnasemaga "ukiona nimenyamasa bee niangushege"
 
unaijua tume ya ocampo ambaye kwa sasa yupo kenya..? jus wait....time will tell..
 
kuna kundi la wafuasi wa chadema ambao wamehadaika kuwa kuna mkakati wa ndani unafanywa na viongozi wa chama hicho baada ya kutoridhika na kushindwa uchaguzi.

Hata hivyo, ukifuatilia mijadala inayoendeshwa na viongozi wa chadema, utagundua kuwa hivi sasa wanajihusisha zaidi na masuala ya bunge. Aliyekuwa mgombea wa urais naye "ameingia mitini".

Wote tunajua kuwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chadema, hapendi kuchelewesha mambo. Ndio maana alitaka matokeo uchaguzi toka sehemu mbalimbali nchini yatangazwe bila kucheleweshwa. Kitendo cha yeye kuchelewa kutoa vidhibiti au kauli yoyote ni ishara tosha kuwa aidha vidhibiti hivyo havipo au "amekubali yaishe".

Ushauri ninaowapa wafuasi wa chadema wanaongoja mkakati wowote kuhusiana na uchaguzi mkuu uliopita ni kwamba, endeleeni na shughuli zenu za kila siku. Hakuna mkakati wowote ndani ya chama. Viongozi wanajadili kugombea uongozi wa upinzani bungeni n.k.

Kwa viongozi wa chadema. Wapeni mwongozo wafuasi wenu. Maamuzi yoyote mnayoyafikia ni vyema mkayatoa kwao hata kama mnahisi ni maamuzi dhaifu. Huo ndio uongozi. Mkishindwa kabisa waambieni, wategemee nini na lini.

Wangu kwenu ni ushauri tu!

non-sense...go away... Ushauri kawape ccm wampitishe sitta na si vinginevyo...
 
Kwa kawaida jambo la muhimu sio tu kufanya jambo la muhimu.
Ni muhimu kufanya jambo la muhimu wakati muhimu na unaofaa. HAPO NDIPO JAMBO LA MUHIMU LITAPEWA UMUHIMU.

Chadema wamesikika kuwa wanajiandaa kutoa ushahidi kwa wananchi juu ya wizi wa kura na ni nani alihusika. Hayo yote ni ya muhimu. Lakini katika nchi kama hii yetu muda unapokwenda ndipo suala hilo linapoachwa kupewa kipaumbele.
Hatimaye watu watakuwa hawaoni tena kama hilo ni moja ya mambo ya muhimu kwao.
Pia muda unapoenda badala ya wao kufikiri mlikuwa mnatafuta vielelezo vya kutosha basi watadhani mnatengeneza vielelezo.

Ushauri wangu. Anzeni kutoa mifano kidogokidogo ya yaliyo wazi. Niliwahi kutoa mfano wa gazeti la mwanahalisi kuwa liliwahi kutoa mfano wa kura zilizofanana kwa wagombea wote wa uraisi katika maeneo mawili tofauti ya uchaguzi.
Kwa bahati mbaya Mwanahalisi nao hawakufafanua waliwaacha watu waone wenyewe.
Kama kuna kitu CCM ilikosea ni timing. Walikosea wakati muafaka wa kuleta hoja ya maisha binafsi ya Dr. Slaa watu wakawa wameshamkubali na pia wanaona hizo hoja zinatengenezwa, hatimaye wakaona labda kuna ukweli lakini wakapuuza kwani hoja zake na msimamo na waliyoyataka kwake yalizidi tatizo lililokuwa linatakiwa lionyeshwe kuwa ni kubwa.
Pia CCM waliwanyima viongozi wao kushiriki mdahalo wakati tayari mmoja alishashiriki na kuonekana kuwa amezidiwa katika mdahalo huo. Hivyo kunyima midahalo baada ya mmoja kulipeleka ujumbe mzito kuwa hofu ni kuwa wananchi wakihoji mambo ya msingi wengi walioomba kwa ticket ya CCM watakuwa na wakati mgumu wa kujibu tuhuma nzito za ufisadi nk.

USHAURI KWA CHADEMA. ANZENI KUTOA MFANO MIDOGO MIDOGO HUKU MKISEMA HII NI MIFANO MICHACHE KATI YA NYINGI, TAARIFA KAMILI ITATOLEWA BAADAE
Mimi siichukii CCM wala viongozi wake. Lakini nachukia dhuluma na kama ipo basi iwekwe hadharani hata kama aliyedhulumu ni baba yangu nitamhimiza kufuata misingi ya haki.
Kwa kuanzia tunaomba wenye mifano michache ya maeneo yao kama ile ya Mwanahalisi waiweke hapa.
Time will tell if you keep on waiting. NAOMBA KUWASILISHA.
 
Ni kweli kabisa hili suala la muda ni la muhimu. Na nadhani baadhi ya watu wameanza sasa kusahau masuala ya uchaguzi.

Natumaini watazingatia ushauri wako.
 
Hivyo muda sio wa kuwasilisha pingamizi mahakamani, muda unaokaribia kwisha ni muda wa kupeleka mambo haya kwa wananchi huku wakitoa ushahidi wa hapa na pale hata kabla ya hoja za pamoja na za jumla.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom