CHADEMA hawajawafanyia watanzania chochote hadi sasa zaidi ya UONGO

Greda

Member
Apr 20, 2012
95
9
Takribani miaka minane sasa tangu CHADEMA kipate jina na umaarufu nchini.
Hapana shaka kuwa,si Bob Makani wala Mbowe,waliokipa sifa na umaarufu nchini,Bali ni Zitto Kabwe,na Wilbroad Slaa,katika Bunge la JMT.

Ni hawa wawili ndio wamepelekea kimbunga cha wabunge toka CHADEMA kuingia mjengoni bila hata wao kutarajia ktk uchaguzi wa 2010.

Matunda ya kimbunga cha CHADEMA mjengoni mwaka 2010 ndio yamewafanya vijana wengi kuwa wajuaji na wabishi huku wote wakiamini kujirudia kwa kimbunga hicho ktk uchaguzi ujao nao waneemeke,ni ktk dhana hii hii vijana wengi hii leo wanajifanya watetezi wa watanzania,na walinzi wa rasilimali za nchi ili tu waneemeke 2015, nao watatue shida zao.

Kwa kipindi hiki chote cha takribani miaka 8,wabunge wa CHADEMA hawajaleta maendeleo yoyote zaidi ya kuwanunulia vijana viroba maana ndio mtaji wao.

Pia hakuna maendeleo katika majimbo yao.

Sugu,Wenje,Lema,Lissu,Msigwa,Kiwia,Machemli,n.k,mmeleta nini majimboni mwenu cha maendeleo ambacho CCM hawakufanya?Mmejaa uongo,na wapindisha mambo wakubwa.
 
kuwaelimisha watanzaia na kuwatoa kwenye usingizi mkubwa wa ujinga na kuwafanya wajitambue katika kudai haki zao ni zaidi ya barabara za lami na shule za kata mnazojivunia maccm........ hivyo CHADEMA kazi yake ndio hiyo hawawezi fanya jengine kwasababu wao sio wanaoongoza nchi
 
Haya usisahau kumwaga data za maendeleo yaliyoletwa na CCM sio kwa miaka 8 tu bali miaka 50. Shida yako umekunywa maji ya kijani.
Ngoja nikupe kazi chache za CHADEMA:-
1. Kuwa na sera ya kuanzisha mchakato wa Katiba mpya ambayo haikuwemo kwenye sera za CCM
2. Vita dhidi ya Ufisadi, unasikia jamaa wa CCM nao eti wanajitambulisha kama wapiganaji dhidi ya Ufisadi.
3. CCM nayo ikaanzisha msemo wa kujivua Gamba kazi ambayo imekuwa ngumu mpaka kesho
4. Elimu ya uraia- kubali kataa CHADEMA imewafumbua macho watanzania kuhusu mengi na hasa raslimali zao
5. Kama umesahau Mwenyekiti wa CCM aliwahi kusema kule Singida kwamba ni afadhali Dr. Slaa apewe kura za uraisi kuliko kumchagua TUNDU MUGHWAI LISSU
6. Wewe nenda ukapokee buku zako saba maana tayari umeshaleta uzi.
7. Kwa nini wameitisha kikao cha dharula kule Dodoma? Wanajadili nini wakati wao ndo wameteua Tume, wameidhinisha bajeti yao, na wao ndo kila kitu. Pole KAMANDA wewew jiandae kuwa chama cha Upinzani make mmeyaacha mawaidha ya Nyerere. Hamtapona mpka mtakapotimiza yale yote mliyopewa na Muasisi wa Taifa letu.
 
kuikubali ccm ni kipimo cha ujinga hasa kwa kijana wa sasa maana huku kwetu wapo wabibi wazee ukiongelea ccm wanatema mate chini.
 
kuikubali ccm ni kipimo cha ujinga hasa kwa kijana wa sasa maana huku kwetu wapo wabibi wazee ukiongelea ccm wanatema mate chini.

Siyo kila babu/bibi anakuwa na busara.

Katibu mkuu wenu naye si ni babu? Kitendo cha yeye kuwa na mchumba unaona ni jambo la busara?
 
Takribani miaka minane sasa tangu CHADEMA kipate jina na umaarufu nchini.
Hapana shaka kuwa,si Bob Makani wala Mbowe,waliokipa sifa na umaarufu nchini,Bali ni Zitto Kabwe,na Wilbroad Slaa,katika Bunge la JMT.
Ni hawa wawili ndio wamepelekea kimbunga cha wabunge toka CDM kuingia mjengoni bila hata wao kutarajia ktk uchaguzi wa 2010.
Matunda ya kimbunga cha CDM mjengoni mwaka 2010 ndio yamewafanya vijana wengi kuwa wajuaji na wabishi huku wote wakiamini kujirudia kwa kimbunga hicho ktk uchaguzi ujao nao waneemeke,ni ktk dhana hii hii vijana wengi hii leo wanajifanya watetezi wa watanzania,na walinzi wa rasilimali za nchi ili tu waneemeke 2015, nao watatue shida zao.
Kwa kipindi hiki chote cha takribani miaka 8,wabunge wa Cdm hawajaleta maendeleo yoyote zaidi ya kuwanunulia vijana viroba maana ndio mtaji wao.
Pia hakuna maendeleo katika majimbo yao.
Sugu,Wenje,Lema,Lissu,Msigwa,Kiwia,Machemli,n.k,mmeleta nini majimboni mwenu cha maendeleo ambacho CCM hawakufanya?Mmejaa uongo,na wapindisha mambo wakubwa.

Wewe umewafanyia nini Watanzania kama sio Majungu tu??
 
CHADEMA ni walaghai. Huyo mwenye CHADEMA, Mr. Mtei alikuwa ni kibaraka wa wakoloni.
 
Takribani miaka minane sasa tangu CHADEMA kipate jina na umaarufu nchini.
Hapana shaka kuwa,si Bob Makani wala Mbowe,waliokipa sifa na umaarufu nchini,Bali ni Zitto Kabwe,na Wilbroad Slaa,katika Bunge la JMT.
Ni hawa wawili ndio wamepelekea kimbunga cha wabunge toka CDM kuingia mjengoni bila hata wao kutarajia ktk uchaguzi wa 2010.
Matunda ya kimbunga cha CDM mjengoni mwaka 2010 ndio yamewafanya vijana wengi kuwa wajuaji na wabishi huku wote wakiamini kujirudia kwa kimbunga hicho ktk uchaguzi ujao nao waneemeke,ni ktk dhana hii hii vijana wengi hii leo wanajifanya watetezi wa watanzania,na walinzi wa rasilimali za nchi ili tu waneemeke 2015, nao watatue shida zao.
Kwa kipindi hiki chote cha takribani miaka 8,wabunge wa Cdm hawajaleta maendeleo yoyote zaidi ya kuwanunulia vijana viroba maana ndio mtaji wao.
Pia hakuna maendeleo katika majimbo yao.
Sugu,Wenje,Lema,Lissu,Msigwa,Kiwia,Machemli,n.k,mmeleta nini majimboni mwenu cha maendeleo ambacho CCM hawakufanya?Mmejaa uongo,na wapindisha mambo wakubwa.

Je wamerudisha fedha za Uswiss?
Wewe fanya kazi moja tu kamwone Dr. Bana wa REDET wakafanye utafiti wa kukubalika kwa CCM Tanzania kwa muda huu.

Kama mnawachagua wastaafu kwenda kuwa Mabalozi mtakuwa na akili timamu kweli? Hujangalia picha za wastaafu wanaouchapa usingizi Bungeni kama akina Wassira na akina Sitta?
 
Ulitaka chadema wamnunulie mkeo chupi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mkuu subiria matusi, jiandae asprin kupunguza maumivu ya kichwa, otherwise vumilia tu pale unapojaribu kuwaelimisha waliopotoka
 
Ulitaka chadema wamnunulie mkeo chupi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu Mungi, kama Gold member nadhani unafahamu rules vizuri acha matusi mkuu, au wewe una immunity?
 
Ulitaka chadema wamnunulie mkeo chupi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Kijana wa Bar Vichaa. Naona umeshatoka kunyweshwa "viroba" na kulishwa pilau kavu unatokwa na povu tu!

Hoja huna umebaki kutumia lugha chafu. "Viroba" vinapigwa marufuku sasa sijui hapo Kinondoni mtaa wa Ufipa mtakuwa mnanyweshwa kitu gani!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom