Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,587
- 22,185
Hawataki mwenge uzimwe ili uendelee kuwamulika wasioipendea mema Tanzania.Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Chadema mh Freeman Mbowe ameshindwa kujumuika na viongozi wenzake katika sherehe za kuuzima mwenge.
Tukio hili pia ni kumbukizi la baba wa taifa mwalimu Nyerere na viongozi wakongwe kwenye upinzani mzee Shibuda, Cheyo na Dr Mrema wamehudhuria.
Bado haijaeleweka sababu zilizomzuia Mbowe kujumuika na viongozi wenzake wa kitaifa labda ameenda kujiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1232960
View attachment 1232961
View attachment 1232962
View attachment 1232964
View attachment 1232963
View attachment 1232965