Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nilishawahi kusema kwamba chadema inaongozwa na watu ambao siyo intelligent, na kwa bahati mbaya sana hao hao vilaza ndiyo wanaongoza chadema bado wameng'ang'ania uongozi watu kama Mbowe, Tundu Lisu &Co. hawakupaswa kuwa Viongozi leo hii yaani hawana uwezo mkubwa wa kufikiri na tabia moja ya watu vilaza huwa ni watu wa kupayuka sana na hii sifa wanayo chadema!
Ukiangalia kwa mfno kwenye Viti maalumu lengo kuu la kuanzishwa kwa viti maalumu ninavyofikri ni kwamba ni kuipa sehemu ya jamii ambayo kwa namna moja au nyingine maslahi yao hayazingatiwi kikamilifu kama vile Walemavu, Wanawake, Watoto na Wazee!
Hivyo basi vyama vya Siasa vinapaswa kuteua Kiongozi au Mbunge ktk kwenye hii jamii ambaye atawakilisha moja kwa moja maslahi yao kwani hakuna anayejua ni nini wanahitaji zaidi ya wao wenyewe, sasa CCM wana wawakilishi wa Walemvu na mpaka Raisi Magufuli ameteua Waziri kwa ajili ya kushughulikia maslahi yao lkn chama cha chadema kwenye nafasi za viti maalumu hakijateua muwakilishi wa walemavu hata mmoja, na kimetumia fursa hii kuweka ndugu, mahawala na wabeba briefcase wa Viongozi!
Na je
Ni jambo la kushangaza sana kutwa nzima wameshinda kwenye mitandao kutaka Katiba mpya wakati hii iliyopo hata kuifwata wanashindwa, je hiyo mpya mtakuwa na miujiza gani kuifwata?
* Hoja Kuu siyo Katiba Mpya bali ni chadema kutokuelewa maana ya Viti maalumu!