CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga

makamanda wakifanya ukamanda wa kupeana moyo!
Nahisi wanafanya hivyo kuwaweka katika mazingira magumu kina Pilato kwani ndio wanaonekana kupokea maagizo kutoka juu.

Wao wanaharibu, kina Pilato watajijua.
 
Lugha za kimakabila husababisha kuchanganya R vs L, Cha ajabu mpaka English tunashindwa kujua wingi na uchache kwababu kiswahili si lugha ya uajemi na english si lugha ya est afrika. Tusilaumu hata watangazaji hufanya makosa mengi kwenye matamshi na uandishi.
 
Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi.

Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya mambo,.ila wanafanya kwa kulazimishwa tu na matokeo yake na wao wanamua kufanya kazi chini ya kiwango.

Kwahiyo nashauri tufanye kauchunguzi kwanza kabla ya kuendelea kuwabeza kwani huenda tunawakatisha tamaa bila kujua.

Narudiia, haingii akilini unless ni makusudi na kama sio makusudi, basi hili ni janga kubwa kwa nchi yetu.

Bado sitaki kuamini kama kweli wamekosea kwani hayo makosa sio typing error useme wamekosea bali nahisi kuna jambo.

Uki-type kwa kutumia word na ukakosea spelling, si word inakuonyesha? Ina maana hata microsoftword hawajasoma?

Tukumbuke kuna watu huto siri juu ya yanayoendelea na kuwajulisha makamanda wetu- tutafakari.

Tuunganishe dot pia kuhusu hoja ya Mwanasesere kutoka kwa Mr. Slow slow.
Tunaendelea kuunganisha dots
 
inasemekana Polepole ndio anaongoza ccm kwa sasa , japo nyuma ya pazia , ndio maana Makatibu wameng'olewa
 
Back
Top Bottom