CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
Duh, mkuu hii mbona noma kama mambo ndo hivyo
Kwanza hakuna sauti kuna rafiki yangu ananiambia hapa ni kitu kimekuwa staged na most likely ni Nape na Ridhiwani watakuwa wamefanya hivi kupunguza mkali nasikia hawa majamaa ndio wenye vikundi vya wanaojiita waislamu (Saidi Mwaipopo) na wale wanaojiita mbalazi wa amani wanatumwa kuspin ukweli unapokuwa kweli ,kwa sasa vijana hao wameingia kwenye kundi la mafia
halafu baada ya you tube= list ya mamafia wa matusi dhidi ya chadema wameongozana hii si bahati kwamba walikuwepo wote wamepanga kuja kuiuproot thread we know you centre right back front
 
tatizo wewe ni katika wale wanopenda kuona kile wanachoamini na si kuamini kile wanachokiona,wenye macho wanaiona hiyo video,you cant cover up kitu kilichowazi kwenye mitandao and every thing,chadema has to come clear kwenye hili,mambo ya kuisingizia serikali kwa uovu wa wenu yamefikia mwisho,mungu ana mambo yake ona mnavyodharirika sasa,kumbe hata chacha wangwe yalimkuta yatokanayo na vikao kama hivi vya mikakati ya lwakatare!shame on you guys



Lukolo 20:00 Today

Kwa hiyo hapa siyo mipango ya mauaji
kama alivyosema Mwigulu! Anyway hata
hivyo hatujui context ya mazungumzo
ipoje, hatujui walianzia wapi kuongea na
walifikaje hapo. Kwa hiyo hii video kwa
jinsi ilivyo, sijaona ikitoa hukumu ya moja
kwa moja kwamba labda Lwakatare
anatoa maoni yanayokiwakilisha chama
chake au inapangwa mikakati ya kufanya
hayo anayoyasema. Naona kwa kiasi
kikubwa anaongelea kama kwa mifano.
Lakini kizuri ni kwamba hakuna
aliyewekewa hiyo spray akapelekwa
kokote, lakini wapo waliopigwa na
kuteswa sana na serikali. Inaelekea
serikali ya CCM ilikuwa bado haijaigundua
hii mbinu ya Rwakatare, ambayo hailengi
kupiga wala kumuumiza mtu popote, bali
kumpa ujumbe kwa njia ya amani.
 
Leo hata malaya wa kisiasa wameonekana kwenye anga hizi baada ya kuchonga you tube message mwambieni Tidhiwani hawezi kuhamisha ukweli anajulikana kufurahia kuteswa kwa dr Ulimboka na KIbanda hata KIbanda mwenyewe ameonya musimtumie kisiasa

mtasema yote lakini huu ni ugaidi...haiwezekani mkurugenzi wa ulinzi na usalama apange mauaji, hiki chama sasa kimevuka mipaka
 
Mkuu hali inatisha. Tunahangaika na kuwaleta FBI kumbe FBI wa kwetu wapo! Huyu jamaa aliyeleta hii clip yupo ndani kabisa ya CDM na hii ni scandal kubwa sana kwa CDM. CHADEMA wamevuliwa nguo mchana kweupeeee kumbe ndivyo walivyo?

CC Ritz TUMBIRI



scandal waiona weye mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Tumeyaona na kuyasikia mengi na yamepita. Hili nalo litapita kama mengine. Ndipo tulipofikia nchi hii!
 
hii ngoma nzito sana kwa chadema sasa sijui nayo wataandamana na huyo jamaa anaeitikia hapo na kujibu maswali ya mchora mchoro wa utekaji nyara lwakatare ni jamaa mmoja hivi wa chadema anafahamika na hizo ndizo kazi zake jamaa huyo bwana L kama herufi yake ya mwanzo ya jina lake ilivyo aliwahi somea upadre ila ukamshinda akaacha naye hana pakukwepea katika hili maana kwa wanaomjua vizuri kama mimi hawatosita kumtambua kwamba ni YEYE{KIJANA L]
Kuna mdada anauliza utazaa lini mimba ya chadema ,Ridhiwani na Nape wameandikwa kwenye magazeti wamesomwa kwenye maredio na ma TV wananchi wengi wameweka nakala za magazeti ipo siku watawajibika hawo ndio wamelinywa nasikia baba Ridhiwani ilikuwa aende Uswsi imebidi arudi kumkanya mwanawe amelibeba huyo
 
Mkuu unategemea ukimnasa ndege ataacha kutapatapa? idawa anatapatapa huyo, mimi chadema ninayemkubali kwa kuruka vihunzi ni MABERE MARANDO, subiri naye atajitokeza akiwa anarukaruka.

mkuu kwa hili hatoki, hapa ni kwamba mwizi amekamatwa na ngozi....mlango umejifunga na ufunguo uko kwa nje.
 
Nimesikia akisema haya maneno "HUYU MTU NI HATARI NA HAYUKO KWENYE HABARI TU"
hata mimi nimeshindwa kuelewa lakini ni wazi alikuwa akimlenga mwandishi wa habari anaweza kuwa MWANGOSI au KIBANDA nini?
Set sentences mulivyolosaa akili mumeshindwa kujicoordinate ili musionyesha kwamba mumepanga mpango ha ha wajinga kweli nyie ndio maana hata usalama wa taifa wanapewa mission ya assasination wanashindwa kuzitekeleza kwa sababu Mungu ameamua kuwauumbua Mwambieni Jakaya mkanda uko the Hague
 
Hili liewakaa kooni CHADEMA. Hili ni kaa la moto na aibu kubwa sana kwa CHADEMA. Mnapanga kuwaumiza watu? Hivi yule kijana aliyejeruhiwa kule Igunga kwa tindikali yuko wapi? Naona kazi ilifanywa na akina Rwakatare.



yatakushuka tu. Jipe muda mkuu
 
mkuu kwa hili hatoki, hapa ni kwamba mwizi amekamatwa na ngozi....mlango umejifunga na ufunguo uko kwa nje.
Tunachojua sisi IKULU ya MH sana Dr dr dr KIkwete ina ratibu yote haya isingekuwa IKulu Kamhanda ,Andengenye,Chagonja funguo zao zingekuwa zimefunga kurasa lakini kwa sababu ni chain wamejisau huku wakkitetemesha vitambi tell them we are watching
 
Kuna mdada anauliza utazaa lini mimba ya chadema ,Ridhiwani na Nape wameandikwa kwenye magazeti wamesomwa kwenye maredio na ma TV wananchi wengi wameweka nakala za magazeti ipo siku watawajibika hawo ndio wamelinywa nasikia baba Ridhiwani ilikuwa aende Uswsi imebidi arudi kumkanya mwanawe amelibeba huyo

Wewe lazima utakuwa kwenye hili kundi la MAFIA na pengine wewe ndo ulikuwa unasikika sauti, wewe ndo RICHI nini? mbona unataka kufananisha issue nyeti kama hii na post za kawaida tu kwenye mitandao kama za NAPE na RITZ. Jamani mimi naomba wasilifanyie hili mzaha nadhani sasa wamepata pa kuanzia.
 
sijui ni mimi tu nashndwa kuelewa anachoongea........hivi haiwezekani kaingiziwa maneno hayo kweli ili kumwingiza kingi?
 
kweli mmetuona mabwege,halafu lwakatare awe mwehu arekodiwe haiingii akilini..mnataka kuhamisha attention ya kibanda ila tumewagundua

yaani hadi kuweza ku comment hivi unapaswa kuwa akili kama mwehu, yaani hujielewi hata unachokiandika...huoni ht aibu kupingana na ukweli? Una moyo mgumu sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom