kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,372
- 7,141
Mtalipiza kisasi gani wakati mnashindwa uchaguzi kihalali. Labda muwe na kisasi na wananchi kwa kutowachagua wakati wa uchaguzi. Sasa hicho kisasi mtalipiza vipi kwa wananchi? Kama ni kukamatwa na pengine vipigo vya polisi bila shaka itakua ukaidi wenu wenyewe kutoheshimu sheria.Sisi tunaamini kwamba baada ya muda mfupi ujao tutatwaa madaraka ya nchi yetu kwa njia ya halali kabisa, ninamaanisha kwamba tutaiondoa CCM madarakani na kuchukua uongozi wa nchi hii huku wananchi wakishangilia sana kwa kumshinda Mkoloni mweusi nchi nzima, hili halipingiki, kama ulikuwa hujui basi kuanzia muda huu chukua hiyo na uhifadhi kichwani mwako, NOTHING LASTS LONGER
Bali pamoja na ushindi mnono titakaoupata TUNAAHIDI KWAMBA HATUTALIPA KISASI CHOCHOTE KWA UNYAMA TULIOFANYIWA KWA MIAKA YOTE, hatutalipa kisasi kwa waliouawa, walioteswa, waliopewa ulemavu wala waliopotezwa, tutajikita kwenye ujenzi wa Tanzania mpya ili kuboresha maisha ya wananchi wetu WALIODHULUMIWA KWA MIAKA 60.
Visasi na Malipo ni KAZI YA MUNGU.
Lengo la uzi huu ni kuwatoa wasiwasi watu wote waliotumikishwa na watawala kuteka, kuua au kuwatesa na kuwanyanyasa wanachama na viongozi wa chadema kwamba sisi hatutahangaika na Mamluki Watumwa waliotumika kama mifugo kutesa raia wenzao, BALI TUNATOA WITO KWA KILA ALIYEHUSIKA KUTUBU ILI AEPUKE GHADHABU ZA MUNGU