CHADEMA haitalipa kisasi kwa unyama na mateso makubwa wayopitishwa viongozi na wanachama wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,288
2,000
Basi kheri muhimu ni mipango na mikakati kitu ambacho ni tatizo kwa Chadema, CCM wana mipango hadi ya mwaka 3000.

Mkiwa mmepanga vitu vizuri kwanini msishinde? Jipangeni mshawishi wanachama kupiga kura sio kupata washabiki ambao kwenye mikutano wanajaa siku za kupiga kura hawaonekani, tena hata vitambulisho vya kupigia kura hawana.
Unawaza kitoto sana

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
8,314
2,000
Sisi tunaamini kwamba baada ya muda mfupi ujao tutatwaa madaraka ya nchi yetu kwa njia ya halali kabisa, ninamaanisha kwamba tutaiondoa CCM madarakani na kuchukua uongozi wa nchi hii huku wananchi wakishangilia sana kwa kumshinda Mkoloni mweusi nchi nzima, hili halipingiki, kama ulikuwa hujui basi kuanzia muda huu chukua hiyo na uhifadhi kichwani mwako, NOTHING LASTS LONGER

Bali pamoja na ushindi mnono titakaoupata TUNAAHIDI KWAMBA HATUTALIPA KISASI CHOCHOTE KWA UNYAMA TULIOFANYIWA KWA MIAKA YOTE, hatutalipa kisasi kwa waliouawa, walioteswa, waliopewa ulemavu wala waliopotezwa, tutajikita kwenye ujenzi wa Tanzania mpya ili kuboresha maisha ya wananchi wetu WALIODHULUMIWA KWA MIAKA 60.

Visasi na Malipo ni KAZI YA MUNGU.

Lengo la uzi huu ni kuwatoa wasiwasi watu wote waliotumikishwa na watawala kuteka, kuua au kuwatesa na kuwanyanyasa wanachama na viongozi wa chadema kwamba sisi hatutahangaika na Mamluki Watumwa waliotumika kama mifugo kutesa raia wenzao, BALI TUNATOA WITO KWA KILA ALIYEHUSIKA KUTUBU ILI AEPUKE GHADHABU ZA MUNGU

Mtalipiza kisasi gani wakati mnashindwa uchaguzi kihalali. Labda muwe na kisasi na wananchi kwa kutowachagua wakati wa uchaguzi. Sasa hicho kisasi mtalipiza vipi kwa wananchi? Kama ni kukamatwa na pengine vipigo vya polisi bila shaka itakua ukaidi wenu wenyewe kutoheshimu sheria.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,288
2,000
Yawezekana ila hebu tujikumbushe 2015 ni kweli mlikuwa hamna mgombea wa nafasi ya uraisi?

The so called kubadili gear angani ilionesha hamna mpango na itachukua muda mrefu kuwaelewa kama kweli Chademaa ina mipango ya kweli?
Nje ya mada
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,672
2,000
Sisi tunaamini kwamba baada ya muda mfupi ujao tutatwaa madaraka ya nchi yetu kwa njia ya halali kabisa, ninamaanisha kwamba tutaiondoa CCM madarakani na kuchukua uongozi wa nchi hii huku wananchi wakishangilia sana kwa kumshinda Mkoloni mweusi nchi nzima, hili halipingiki, kama ulikuwa hujui basi kuanzia muda huu chukua hiyo na uhifadhi kichwani mwako, NOTHING LASTS LONGER

Bali pamoja na ushindi mnono titakaoupata TUNAAHIDI KWAMBA HATUTALIPA KISASI CHOCHOTE KWA UNYAMA TULIOFANYIWA KWA MIAKA YOTE, hatutalipa kisasi kwa waliouawa, walioteswa, waliopewa ulemavu wala waliopotezwa, tutajikita kwenye ujenzi wa Tanzania mpya ili kuboresha maisha ya wananchi wetu WALIODHULUMIWA KWA MIAKA 60.

Visasi na Malipo ni KAZI YA MUNGU.

Lengo la uzi huu ni kuwatoa wasiwasi watu wote waliotumikishwa na watawala kuteka, kuua au kuwatesa na kuwanyanyasa wanachama na viongozi wa chadema kwamba sisi hatutahangaika na Mamluki Watumwa waliotumika kama mifugo kutesa raia wenzao, BALI TUNATOA WITO KWA KILA ALIYEHUSIKA KUTUBU ILI AEPUKE GHADHABU ZA MUNGU

Hapa tu ndio nawapendea hawa mwamba. Chama cha Mani na upendo
 
LGF

JF-Expert Member
Dec 6, 2020
522
500
Mtalipiza kisasi gani wakati mnashindwa uchaguzi kihalali. Labda muwe na kisasi na wananchi kwa kutowachagua wakati wa uchaguzi. Sasa hicho kisasi mtalipiza vipi kwa wananchi? Kama ni kukamatwa na pengine vipigo vya polisi bila shaka itakua ukaidi wenu wenyewe kutoheshimu sheria.
Ni dua za mwewe anatamani kuku
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
Mtalipiza kisasi gani wakati mnashindwa uchaguzi kihalali. Labda muwe na kisasi na wananchi kwa kutowachagua wakati wa uchaguzi. Sasa hicho kisasi mtalipiza vipi kwa wananchi? Kama ni kukamatwa na pengine vipigo vya polisi bila shaka itakua ukaidi wenu wenyewe kutoheshimu sheria.
👍🤣🤣
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom