Chadema haina ugomvi na Kikwete wao wanapinga ushindi wa Kikwete

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Jamani,, kunawatanzania wanashindwa kuelewa Maana ya Chadema kutoutambua uraisi wa Bwana Kikwete,,

Naomba hapa tuwekane sasa Chadema ilipata wabunge 25, na maanisha na Jimbo la Segerea, lakini cha kushangaza NEC ilitangaza kuwa Chadema iliongoza kwa kura Majimbo Saba tuu.. hiyo ni sababu ya kwanza Chadema kukataa katakata matokeo hayo,,
chadema haikusign kukubali kushinda kwa kikwete lakini NEC bila kujali umuhim wa kuuliza Kwanini Chadema imekataa kusign wakatabngaza na Kumuapisha siku ya piliyake huyo Raisi wao

Kutokana na sababu zingine nyingi sana na za msingi Chadema hawataki kuutambua Uraisi wa Kikwete

Hatuna ugomvi na Kikwete bali na NEC
 
Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
624

mi ninaugomvi na kiravu na sio na NEC
 
Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Hivi si kiravu na makame walituambia kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa uendeshwe kw mujibu wa mikataba kati ya tume, serikali, kila cha gombea, msajili vyama na kila mgombea. Sasa haya mambo yaliyofuatia mbona hayafanani na yale ambayo kiravu na makame walipigia debe tangu Mchi 2010?? Wasaliti wakubwa hapa ni kiravu na makame!!!!!!!!!!!!!!!!!! Jamii ya watanzania haitakoma kuwalaani!!!!!!!!!!!!!!!!!
Na mimi naungana na CDM katika hili!!!!!!!!!!!!!!
 
silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
kama noma na iwe noma bwana, hawa NEC wamekula Rushwa kutoka kwa CCM,, WASALITI WAKUBWA SANA WA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mzee Kibiongo

JF-Expert Member
Jun 18, 2008
241
4
kama noma na iwe noma bwana, hawa NEC wamekula Rushwa kutoka kwa CCM,, WASALITI WAKUBWA SANA WA MAENDELEO YA TANZANIA

Kama una ushahidi, nenda mahakamani. La sivyo tukuburuze wewe mahakamani kwa kuendeleza uongo wa CHADEMA. Kwa nini wasimsusie Jaji Makame, wanamsusia Kikwete!!! Ama kweli CHADEMA bado wachanga wa siasa. UONGO wenu umetuchosha. Chadema ina wabunge wangapi kulinganisha na wa CCM halafu waseme walishinda urais!!!!! Acheni propaganda za kitoto.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom