CHADEMA haikushindwa kwa wanagunga bali imeshindwa kwa mujib wa NEC! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA haikushindwa kwa wanagunga bali imeshindwa kwa mujib wa NEC!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Oct 4, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ni ukwle uliowazi KUWA CDM WAMEONESHA NI JUNSI GANI WALIVYO NA NGUVU YA AJABU NA WANAIGUNGA WAMEONESHA JINSI GANI WALIVYOCHOKA NA AHADI HEWA WALIZOPATA TANGU UHURU HADI SASA! KITENDO CHA GHILBA NYINGI ZA CCM NA TUME KWA UJUMLA WAO KUWAHUJUM CDM WANACHI NDO TUNAOWEZA KUJAJI NA SISI NDO TUNAOTAKA MABADILIKO, 171,000 WALIJIANDIKISHA, 55,000 NDO WAMEPIGA KURA, ZAIDI YA KULA 100,000 HAZIJULIKANI ZILIPO, ILA TUANJUA KWANI WAPO WENGIL WALIKAMATWA NA SHAHADA LAKINI TUKAAMBIWA SI KOSA,MJUE, MNAYOFNYA SI DEMOKRASIA, MSITEGEE KUIBA ILI MBAKIE MADARAKANI, CHA MSINGI NI KUFANYA WANAYOTAKA WANACHI, NCHI HAINA MWELEKEO, VIONGOZI WALEWALE, SURA ZILIZILE NA SERA ZILEZILE JE MAENDELEO YATATOKA WAPI?MJUE WANAIGUNGA WAMEFANYA JAMBO SAHIHI KWA KUCHAGUA CHAMA SAHIHI SEMA MBINU CHAFU ZILITUMIKA HADI MATOKEO YANATANGAZWA SAA 9. MTAPATA HUKUMU YENU HAPA DUNIANI NA WANACHI WATASHUHUDIA!HILA NA NJAMA CHAFU HAZIWEZI KUWAWEKA MADARAKANI, MATENDO MAZURI NA UTEKELEZAJI WA AHADI NDO NJIA PEKEE!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Si dhani kama huu ni wakati muafaka wa kulalama, uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga ulikuwa ni jukwaa maalum kwa vyama vya upinzani kubadlisha mikakati ya kampeni na kuwa na mbinu za kuibadili jamii ili isichague kwa mazoea bali kwa malengo ya kupata maendeleo. Vyama vya upinzani viliendelea na agenda moja tu-"ufisadi, ufisadi, ufisadi", . Nadhani ni wakati muafaka sasa vyama vijifunze kuwa na mbinu za kuteka jamii na kubadilidha mtazamo wa jamii kuwa wa kimaendeleo zaidi. Jukwaa kama JF likitumika kuchambua critically na kuja na mapendekezo linaweza kuwa chachu ya mabadiliko ya mbinu za kampeni kwa viongozi wa vyama kwani wengi wao ni members wa jukwaa.
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Gama, mbinu kama kugawa mahindi na nguo?
   
Loading...