CHADEMA haikupeleka taarifa ya ukaguzi.

Mzee Uchwara

Senior Member
Oct 28, 2013
119
35
Wiki mbili zilizopita chama cha chadema kilitoa taarifa kwa cc kuwa zito anadanganya wao wameshakaguliwa. Sasa kama wamekaguliwa mbona hawakupeleka hiyo taarifa kwa msajili hadi leo? Au ilikuwa ni kujiosha! vyama vilivyo peleka taarifa ya ukaguzi ni vinne tu NCCR, CUF,TLP na CCM. Mwenyekiti msaidizi wa POC amesema mda si mrefu bungeni.
 
naona aliyekuachia hii laana alishakufa
 
Uwe unaelewa usijigeuze kasuku, suala ni kwamba CAG hakwenda kukagua kwa sababu hakuwa na pesa, halikuwa kosa la vyama
 
Wiki mbili zilizopita chama cha chadema kilitoa taarifa kwa cc kuwa zito anadanganya wao wameshakaguliwa. Sasa kama wamekaguliwa mbona hawakupeleka hiyo taarifa kwa msajili hadi leo? Au ilikuwa ni kujiosha! vyama vilivyo peleka taarifa ya ukaguzi ni vinne tu NCCR, CUF,TLP na CCM. Mwenyekiti msaidizi wa POC amesema mda si mrefu bungeni.

Mh. Lissu kasoma taarifa iliyoandikwa na kamati ya hesabu za serikali iliyosema " mkaguzi aliweza kukagua vyama viwili tu ambavyo ni ccm na tlp kutokana na kukosekana kwa fedha " taarifa hii ipo kwenye kijitabu ambacho kimetolewa na kamati ya Zito ambaye kama mwenyekiti wa kamati amekomalia chadema haijapeleka mahesabu huku kamati yake ikijua si kosa la chama kutokaguliwa
 
Kumbe Zitto ndio ilikuwa kete yake hiyo baada ya kuona sehemu nyingine zote amegonga mwamba? Mbona kabugi vibaya sana!
 
Filikunjombe ametoa povu sana kuhusu vyama kukaguliwa,ushukuriwe mwongozo ulioombwa na mh. Lissu
 
Back
Top Bottom