Mzee Uchwara
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 119
- 35
Wiki mbili zilizopita chama cha chadema kilitoa taarifa kwa cc kuwa zito anadanganya wao wameshakaguliwa. Sasa kama wamekaguliwa mbona hawakupeleka hiyo taarifa kwa msajili hadi leo? Au ilikuwa ni kujiosha! vyama vilivyo peleka taarifa ya ukaguzi ni vinne tu NCCR, CUF,TLP na CCM. Mwenyekiti msaidizi wa POC amesema mda si mrefu bungeni.