Chadema haijifunzi cjui ni akili ndogo

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,832
2,000
nimeona watu wengi either wanalalamika ama wanahisi kuonewa.
maoni yangu ni kuwa chadema haijifunzi.
hakuna chaguzi yoyote si hapa tanzania ulimwengu mzima lazm kuwe na sheria za uchaguzi na ndomana vyama vinavojielewa lazm kuwe na kurugenzi ya uchaguzi. kama hufati au hujui sheria sio kigezo kuwa ur not guilty.
sasa kumeripotiwa baadhi ya wagombea wa chadema waliowekewa pingamizi wengine hawajui kusoma,wengine wametumia mihuri binafsi badala ya mihuri ya chama,wengine wamejaza fomu kimakosa.
sheria ya uchaguzi kwa mbumbumbu wasiojua inaruhusu kuweka pingamizi si kwa mgombea tu ht kwenye daftari la kudumu amean mpiga kura

binafsi naona udhaifu wa kiungozi ndani ya chadema na ndipo nakumbuka akili kubwa km kina ZITO KUKOSEKANA.
MAPUNGUFU HAYA YASIPOFANYIWA KAZI UCHAGUZI MKUU IT WILL B THE SAME.
AKILI KUBWA VS AKILI NDOGO
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,836
2,000
Hela haitoshi kuchonga mihuri kuna majukumu muhimu makao makuu wagombea wagharamie kuchonga mihuri wenyewe.
 
assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,832
2,000
kujazana nafasi za juu watu wenye uwezo wa chini wakiblock na kufukuza wasomi ndipo tatizo linapoanzia
 
Tanzania Kwanza 2015

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
452
0
nimeona watu wengi either wanalalamika ama wanahisi kuonewa.
maoni yangu ni kuwa chadema haijifunzi.
hakuna chaguzi yoyote si hapa tanzania ulimwengu mzima lazm kuwe na sheria za uchaguzi na ndomana vyama vinavojielewa lazm kuwe na kurugenzi ya uchaguzi. kama hufati au hujui sheria sio kigezo kuwa ur not guilty.
sasa kumeripotiwa baadhi ya wagombea wa chadema waliowekewa pingamizi wengine hawajui kusoma,wengine wametumia mihuri binafsi badala ya mihuri ya chama,wengine wamejaza fomu kimakosa.
sheria ya uchaguzi kwa mbumbumbu wasiojua inaruhusu kuweka pingamizi si kwa mgombea tu ht kwenye daftari la kudumu amean mpiga kura

binafsi naona udhaifu wa kiungozi ndani ya chadema na ndipo nakumbuka akili kubwa km kina ZITO KUKOSEKANA.
MAPUNGUFU HAYA YASIPOFANYIWA KAZI UCHAGUZI MKUU IT WILL B THE SAME.
AKILI KUBWA VS AKILI NDOGO
we kweli assady wa syria umeangamiza nchi yako sababu ya uroho wa madaraka.... yaani wengine zaidi ya 166 wameenguliwa eti walikuwa ccm zamani na walihama ccm bila kuaga..... thats rubbish. .... mwamuzi wa mapingamizi RAS aliye wekwa na ccm... only in Tz... wajitoe tu na mbadili katiba na kufuta vyama vingi si mko wengi bungeni!!!!!
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,660

Habari za huwa ni uongo hakuna mtu kuchangia huu huongo mwizi mkubwa

swissme:
 
Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
4,671
2,000
huwezi engua watu kwa vigezo hivyo watu wanajua kusoma ila kwa kadiri taifa lilivowapa nafasi ya kusoma.kuhama chama bila kuaga ndo mdudu gani
 
assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,832
2,000
we kweli assady wa syria umeangamiza nchi yako sababu ya uroho wa madaraka.... yaani wengine zaidi ya 166 wameenguliwa eti walikuwa ccm zamani na walihama ccm bila kuaga..... thats rubbish. .... mwamuzi wa mapingamizi RAS aliye wekwa na ccm... only in Tz... wajitoe tu na mbadili katiba na kufuta vyama vingi si mko wengi bungeni!!!!!
mm sio ccm bali mzalendo
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,153
2,000
nimeona watu wengi either wanalalamika ama wanahisi kuonewa.
maoni yangu ni kuwa chadema haijifunzi.
hakuna chaguzi yoyote si hapa tanzania ulimwengu mzima lazm kuwe na sheria za uchaguzi na ndomana vyama vinavojielewa lazm kuwe na kurugenzi ya uchaguzi. kama hufati au hujui sheria sio kigezo kuwa ur not guilty.
sasa kumeripotiwa baadhi ya wagombea wa chadema waliowekewa pingamizi wengine hawajui kusoma,wengine wametumia mihuri binafsi badala ya mihuri ya chama,wengine wamejaza fomu kimakosa.
sheria ya uchaguzi kwa mbumbumbu wasiojua inaruhusu kuweka pingamizi si kwa mgombea tu ht kwenye daftari la kudumu amean mpiga kura

binafsi naona udhaifu wa kiungozi ndani ya chadema na ndipo nakumbuka akili kubwa km kina ZITO KUKOSEKANA.
MAPUNGUFU HAYA YASIPOFANYIWA KAZI UCHAGUZI MKUU IT WILL B THE SAME.
AKILI KUBWA VS AKILI NDOGO
Mbona chaguzi zote zilizopita huyo Zitto alikuwa huko ........................ au akili imekuwa kubwa baad ya kuwa mbunge wa Mahakama!!??
 
assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,832
2,000
kila saa kulialia hp jukwaani mbn cuf na nccr wametulia .watt wamezidi kutupigia kelele na vlio vyao
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,657
2,000
nimeona watu wengi either wanalalamika ama wanahisi kuonewa.
maoni yangu ni kuwa chadema haijifunzi.
hakuna chaguzi yoyote si hapa tanzania ulimwengu mzima lazm kuwe na sheria za uchaguzi na ndomana vyama vinavojielewa lazm kuwe na kurugenzi ya uchaguzi. kama hufati au hujui sheria sio kigezo kuwa ur not guilty.
sasa kumeripotiwa baadhi ya wagombea wa chadema waliowekewa pingamizi wengine hawajui kusoma,wengine wametumia mihuri binafsi badala ya mihuri ya chama,wengine wamejaza fomu kimakosa.
sheria ya uchaguzi kwa mbumbumbu wasiojua inaruhusu kuweka pingamizi si kwa mgombea tu ht kwenye daftari la kudumu amean mpiga kura

binafsi naona udhaifu wa kiungozi ndani ya chadema na ndipo nakumbuka akili kubwa km kina ZITO KUKOSEKANA.
MAPUNGUFU HAYA YASIPOFANYIWA KAZI UCHAGUZI MKUU IT WILL B THE SAME.
AKILI KUBWA VS AKILI NDOGO
Mihuri binafsi iliyotumika iko je? Just curious to know maana hakuna anayetufafanulia matatizo haya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom