CHADEMA haijatoa tamko lolote kuhusu mgao wa Maji na Umeme. Je, wamesahau wajibu wao kama chama kikuu cha upinzani?

Sasa wapinzani wakiongea kweli mnawachukua na kuwaweka ndani na kuwasingizia kesi za ugaidi, endeleeni na rohombaya na chuki zenu huku mkilazimisha madaraka kwa nguvu
Yule Mkiti wa BAZECHA kesi ipoje.
Aliongea issue ya Bandari ya Bagamoyo as if aliwahi uona mkataba.
 
Sijaona popote pale CHADEMA ambao ni chama kikuu cha upinzani kikizungumzia uwepo wa mgao wa maji na umeme.

Wakati wa Dr Slaa maswala yote yanayoleta sintofahamu kwa wananchi yalihojiwa kwa haraka sana bila kujali kuna makundi ya Friends of Lowassa au Lindi kuchele ndani ya CCM.

Je, Chadema ya J J Mnyika imekengeuka na kuwasahau wananchi?

Maendeleo hayana vyama!

Tanzania kila kitu ni mgawo kasoro tu jua na giza ambavyo Mungu alimpa kila mtu kwa masaa sawa.
 
CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani kwa vigezo vipi? Unadhani wanavyokaa kimya wajinga?
 
Sijaona popote pale CHADEMA ambao ni chama kikuu cha upinzani kikizungumzia uwepo wa mgao wa maji na umeme.

Wakati wa Dr Slaa maswala yote yanayoleta sintofahamu kwa wananchi yalihojiwa kwa haraka sana bila kujali kuna makundi ya Friends of Lowassa au Lindi kuchele ndani ya CCM.

Je, Chadema ya J J Mnyika imekengeuka na kuwasahau wananchi?

Maendeleo hayana vyama!
Tope lenu mlikanyage wenyewe, mnataka waseme vipi? Wakisema mabwawa mnayofungulia maji mtaacha kufungulia kuchepusha maji?
 
Sijaona popote pale CHADEMA ambao ni chama kikuu cha upinzani kikizungumzia uwepo wa mgao wa maji na umeme.

Wakati wa Dr Slaa maswala yote yanayoleta sintofahamu kwa wananchi yalihojiwa kwa haraka sana bila kujali kuna makundi ya Friends of Lowassa au Lindi kuchele ndani ya CCM.

Je, Chadema ya J J Mnyika imekengeuka na kuwasahau wananchi?

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu kwani chadema ndo inakusanya kodi , Yani msindwe kutatua kero za wananchi, alafu mlazimishe chadema kutoa tamko,
 
Sijaona popote pale CHADEMA ambao ni chama kikuu cha upinzani kikizungumzia uwepo wa mgao wa maji na umeme.

Wakati wa Dr Slaa maswala yote yanayoleta sintofahamu kwa wananchi yalihojiwa kwa haraka sana bila kujali kuna makundi ya Friends of Lowassa au Lindi kuchele ndani ya CCM.

Je, Chadema ya J J Mnyika imekengeuka na kuwasahau wananchi?

Maendeleo hayana vyama!
Unataka Mheshimiwa Mnyika, atumie jukwaa lipi? Agenda ya CHADEMA ni kudai Tume huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Haya yakipatikana bila shaka taifa letu litaendeshwa vizuri. Na kila tamko litakalo tolewa na chama litaheshimika hadi serikalini.
 
Tamko kweli linaweza kuleta umeme na maji? Kama ingekuwa hivo mbona Rais/Waziri kutamka ingetosha kabisa?

Matamko sio ya Chadema wala CCM yaliwahi kufanya kitu. Kwani baada ya Shaka kuzuia machinga wasitolewe, hawakutolewa??

Maji na umeme vitaletwa kwa utendaji. Sio matamko!
 
Washatoa tamko mapema kabisa kwamba utawala wa sasa unawarejeshea tabasamu wananchi; unataka tamko gani tena?!
 
Sijaona popote pale CHADEMA ambao ni chama kikuu cha upinzani kikizungumzia uwepo wa mgao wa maji na umeme.

Wakati wa Dr Slaa maswala yote yanayoleta sintofahamu kwa wananchi yalihojiwa kwa haraka sana bila kujali kuna makundi ya Friends of Lowassa au Lindi kuchele ndani ya CCM.

Je, Chadema ya J J Mnyika imekengeuka na kuwasahau wananchi?

Maendeleo hayana vyama!
uzembe mfanye ccm, halafu musubiri chadema ndio wazungumzie mgao wa umeme? walipokuwa wanawashauri si mlisema wanatumiwa na mabeberu wanaotuonea wivu?
 
Sijaona popote pale CHADEMA ambao ni chama kikuu cha upinzani kikizungumzia uwepo wa mgao wa maji na umeme.

Wakati wa Dr Slaa maswala yote yanayoleta sintofahamu kwa wananchi yalihojiwa kwa haraka sana bila kujali kuna makundi ya Friends of Lowassa au Lindi kuchele ndani ya CCM.

Je, Chadema ya J J Mnyika imekengeuka na kuwasahau wananchi?

Maendeleo hayana vyama!
Waseme halafu muwatungie kesi za ugaidi. Tuondolee upumbavu wako hapa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kinachoisumbua Chadema ni kujaza vijana wengi majobless waliohitimu vyuo na kuona pakutokea kimaisha kwa urahisi ni siasa hasa kupitia Chadema. Kutwa kucha kutukana na kujifanya ni wasomi wasio kosea. Hawana sera na dira ya siasa za nchi hii hata kwa miaka mitano tuu.
Wao wanaenda na kinachotrend kwa wakati Fulani.
Ndio maana wengi wakitakiwa na CCM hukubali na kubadilika ghafla utafikiri wamekulia CCM.
 
Back
Top Bottom