CHADEMA haijaridhishwa na hukumu ya kesi ndogo, Kuitisha kikao cha dharura ili kutafakari hatua za kuchukua

Mkuu, chanzo Cha haya mambo unafikir ni Ugaidi!!?
Huo Ugaidi wa kumtrace kiongozi mmoja wa chama pinzani aliye tishio juu ya chama tawala alafu anakuja mtu mmoja HAMZA hawana hata habar nae mpaka anaua watu!!?

Inshu hapa Ni KATIBA MPYA, Sasa Kama kiongozi aliyekuwa na moyo wa kuamsha upatikanaji katiba mpya yaliyomkuta ndo haya , unategemea Nini??

Hiyo katiba itapatikana vipi??

Hangaya =Edgar Lungu, Ni suala la muda TU!
Sasa mbowe anatishio gani ww mwehu ..acha kuabudu watu usio lala nao pamoja tafuta riziki yako kiongozi
 
Pole sn dada angu kwa stress za ndoa
Nani ana stress- napata kila kitu- wewe
1. ulikosa ikulu
2. ulikosa ubunge
3. unadai katiba sijui mpya
4. Mbowe yuko ndani sijui mpaka lini
5. unashinda mahakamani na kuamua kesi kwenye space
6. unaishi kwenye jamanhuri ya twitter na mitandao
 
Nani ana stress- napata kila kitu- wewe
1. ulikosa ikulu
2. ulikosa ubunge
3. unadai katiba sijui mpya
4. Mbowe yuko ndani sijui mpaka lini
5. unashinda mahakamani na kuamua kesi kwenye space
6. unaishi kwenye jamanhuri ya twitter na mitandao
Nakujua dada angu wewe ni mtu mswahili unashinda kwenye mkeka kusuta watu
 
246015220_874113886797464_5328489689503711966_n.jpg
 
Back
Top Bottom