CHADEMA haijaridhishwa na hukumu ya kesi ndogo, Kuitisha kikao cha dharura ili kutafakari hatua za kuchukua

Mkuu Erythrocyte , hii inshu amini usiamini Hangaya amedhamilia kumpiga mvua za kutosha Mbowe!
Ikumbukwe TU kuwa hata Yohana Mbatizaji alihukumiwa kuuawa kwa kosa la kumkosoa mfalme!

Suala hili kiuanadamu Ni gumu kuliko linavyofikirika! Washauri wamwite mshauri wa ajabu aingilie Kati!
Chadema inazo taarifa zote muhimu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
KATIBA MPYA ni lazima kuondoa huu ujinga wa Jaji kuteuliwa na Rais.

Jaji anafanya maamuzi ya kisheria kwa maoni yake binafsi bila kutaja vifungu na anaamua kuondoka zake.

Ameshatetea ugali wake na sasa anaenda 'kumpanga' atakayeendeleza kijiti cha kuyumbisha Haki ya Mbowe na wenzake.
Mkuu, chanzo Cha haya mambo unafikir ni Ugaidi!!?
Huo Ugaidi wa kumtrace kiongozi mmoja wa chama pinzani aliye tishio juu ya chama tawala alafu anakuja mtu mmoja HAMZA hawana hata habar nae mpaka anaua watu!!?

Inshu hapa Ni KATIBA MPYA, Sasa Kama kiongozi aliyekuwa na moyo wa kuamsha upatikanaji katiba mpya yaliyomkuta ndo haya , unategemea Nini??

Hiyo katiba itapatikana vipi??

Hangaya =Edgar Lungu, Ni suala la muda TU!
 
Thats why wanaipinga KATIBA MPYA kwa nguvu zao zote.

Wanajua nin kitafuata.
 
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika kwenye viunga vya Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi Mjini Dar es Salaam.

Wito wangu kwa Wanachama wa Chadema ni kuwa watulivu wakati viongozi wakitafakari hatua za kuchukua.

SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU
Yaani huyu Mwenyekiti wenu safari hii kapatikana hata ukimuangalia usoni anajutia alichokifanya. Tutaonana tena na mkae salama
 
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika kwenye viunga vya Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi Mjini Dar es Salaam.

Wito wangu kwa Wanachama wa Chadema ni kuwa watulivu wakati viongozi wakitafakari hatua za kuchukua.

SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU

Unajuaje nyie ndio SHETANI WENYEWE. Ulifikiria hilo.
 
CCM huwa hainaga aibu ndugu... CDM imekuwa kikwazo kikubwa sana kwao kutawala kwa raha.

C235F348-FE29-42E7-A9CC-6559CE7FA6DA.jpeg
 
Mkuu, chanzo Cha haya mambo unafikir ni Ugaidi!!?
Huo Ugaidi wa kumtrace kiongozi mmoja wa chama pinzani aliye tishio juu ya chama tawala alafu anakuja mtu mmoja HAMZA hawana hata habar nae mpaka anaua watu!!?

Inshu hapa Ni KATIBA MPYA, Sasa Kama kiongozi aliyekuwa na moyo wa kuamsha upatikanaji katiba mpya yaliyomkuta ndo haya , unategemea Nini??

Hiyo katiba itapatikana vipi??

Hangaya =Edgar Lungu, Ni suala la muda TU!
Endelea kujifariji mkuu...

Maisha ni matumaini....japo si lazima hayo matumaini YATIMIE....

#Nchi Kwanza Kabla Ya Chochote
#Siempre JMT

ADUMU MILELE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin 🙏
 
Sikuwa na matumaini na Siyani. Nilijua kuwa na huyu ni shetani kama mashetani wengine. Hii kesi ndogo hata hakimu wa mahakama ya Mwanzo angeliweza kutoa hukumu ya haki
Huyu jaji wa Mkakati na hata ile promotion yake ilikuwa ya kimkakati pia(rushwa)
 
Mkuu Erythrocyte , hii inshu amini usiamini Hangaya amedhamilia kumpiga mvua za kutosha Mbowe!
Ikumbukwe TU kuwa hata Yohana Mbatizaji alihukumiwa kuuawa kwa kosa la kumkosoa mfalme!

Suala hili kiuanadamu Ni gumu kuliko linavyofikirika! Washauri wamwite mshauri wa ajabu aingilie Kati!
Wataondoka wao wataiacha CHADEMA
.
 
Back
Top Bottom