CHADEMA Gezaulole kimenuka

msemakweli ni tarehe 14 disemba 2014 . Mkutano wa kampeni hautoshelezi kupima idadi ya wapiga kura...halafu unatudanganya kwani ungekuwa mkweli ungetupia na picha ya mkutano huo ili tupime na wakwetu tuangalie wapi pamejaa....
Leo ni siku ya ufunguzi wa kampeni ktk mtaa wa kizani kata ya somangira -kigamboni Dar, watu ni wengi sn, hakika chadema imekubalika sn katika kata hii.N.B Chadema ndo chama tawala hapa.
 
Back
Top Bottom