Chadema=eff cha julius malema

tondoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
207
51
Wanajf kama mmejaribu kufuatilia siasa za africa kusini kuna kiongozi wa chama economic freedom fighters bwana julius malema, mm binafsi nafurahishwa sana na sera za chama chake ambazo kwa hapa zinafanana na sera za cdm. Wenzangu mnamuonaje huyu kijana na mnaonaje sera za chama na sisi vijana wa tanzania tunajifunza nini kutoka kwake na sera za chama chake.
 
Ungeingia kwa kina zaidi ituambie sera za chama cha Malema ni zipi na CDM ni zipi kisha tuzilinganishe tujadili, mada yako haijashiba.
 
wanajf kama mmejaribu kufuatilia siasa za africa kusini kuna kiongozi wa chama economic freedom fighters bwana julius malema, mm binafsi nafurahishwa sana na sera za chama chake ambazo kwa hapa zinafanana na sera za cdm. Wenzangu mnamuonaje huyu kijana na mnaonaje sera za chama na sisi vijana wa tanzania tunajifunza nini kutoka kwake na sera za chama chake.

hujaeleweka weka sera bayana mwandugu.
 
kwani wewe unamuona malema ni mzima kwa mtazamo wako, jaribu kuangalia vizuri akili ya malema kama ni kama ya viongozi wa cdm basi hakuna watu hapo ni magwanda tu.
 
Ungeingia kwa kina zaidi ituambie sera za chama cha Malema ni zipi na CDM ni zipi kisha tuzilinganishe tujadili, mada yako haijashiba.

mkuu chama chake kinataka usawa kwenye kumiliki rasilimali za nchi yao, kama vile madini na ardhi,lkn kama una nafsi jaribu kugoogle utaona mahojiano ya julius malema na aljazeera.
 
kwani wewe unamuona malema ni mzima kwa mtazamo wako, jaribu kuangalia vizuri akili ya malema kama ni kama ya viongozi wa cdm basi hakuna watu hapo ni magwanda tu.

mkuu inaonekana hujui historia ya julius malema, alikosana na zuma baada ya zuma kuanza kuwakumbatia wazungu kama mtangulizi wake mbeki. anachotaka malema pamoja na chama chake ni kuona wananchi weusi wa africa kusini au serikali inamiliki njia kuu za uchumi na sio kumilikiwa na wazungu wachache.
 
Play:(:(:thumbdown::(:(:what::(:eek::eek::thumbdown::(:D:thumbup::confused::p:p:mad::mad::D:thumbup::D:D:confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::p:p;););):p:confused::confused::confused::confused:;):(:thumbdown::thumbdown::banghead::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbup:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom