Wanajf kama mmejaribu kufuatilia siasa za africa kusini kuna kiongozi wa chama economic freedom fighters bwana julius malema, mm binafsi nafurahishwa sana na sera za chama chake ambazo kwa hapa zinafanana na sera za cdm. Wenzangu mnamuonaje huyu kijana na mnaonaje sera za chama na sisi vijana wa tanzania tunajifunza nini kutoka kwake na sera za chama chake.