Chadema ebu tuambieni! Kupita bila kupingwa maana yake nini?

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Mlitaka Masha na mwenzake wapite bila kupingwa?sijaelewa hapa !!!wegine walileta more than the agreed number ili kupigiwa kura!!ina maana pamoja nakuitwa chama cha democrasia hamjui maana ya kupita bila kupingwa?sasa wamepingwa kwa kura za hapana!!nyie mlitaka kura zote ziwe ndiyooooo!!!ndo democrasia mnayohubirigi huko kwenye kamati kuu ?shame on you
 
Back
Top Bottom