Chadema, dont under estimate the power of our Tz Government

Nasisi wananchi tunasema, don't underestimate peoples power,it has happened in Tunisia,it is happening in Egypt and Yemen,it will happen here in Tanzania.And please don't ever say it again,we know what we are doing,we are rational people,we are not being used.That is an insult.

Inawezekana mnamatatizo ya kufahamu, Nimesema Tanzania Government ,sasa huko Tunisia au Misry au Yemen hakuna Chama ambacho kimehusika na muamsho huo ,ukuangalia Tunis ni kisa kidogo tu ndio kimeamsha hisia ,kisa ambacho kwa hapa Tz ni maarufu pale kariakoo ,na hata huko Masri ,no one is behind the revolts.

Hivyo Chadema niwaonavyo mnataka kujivisha hili jambo, muelewe tu na hata viongozi wa Chadema waelewe hivyo kuwa ni very dangerous kwa chama kujiweka kimbelembele katika mwamsho na hapa JF wapiga debe mliokaza kamba nawapa onyo ,tena onyo na tahadhari ya bure msiihusishe Chadema kabisa kwa marefu na mapana ,kama mnaushawishi basi tumieni ushawishi wenu kwa kutoihusisha Chadema ,natumai mwenye akili atanifahamu na kunielewa.
 
Back
Top Bottom