Chadema, dont under estimate the power of our Tz Government | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema, dont under estimate the power of our Tz Government

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jan 28, 2011.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Msijaribu tena ,kilichotokea Arusha kimetoa fundisho ,haswa pale mliposhindwa kuendelza mapambano ,inamaana CCM na serikali yake wamefanikiwa kuwazima na leo hii tumerudi kwenye amani na utulivu.

  Leo serikali ni ya CCM kesho au tuseme 2015 Chadema mtaongoza serikali ,na wazalendo mkae mkijua kuwa ndio hawahawa wanaowapigia debe ,sasa ikiwa leo mnaanzisha mchezo wa kuwatumia wananchi kutaka mafanikio yenu kisiasa yafanikiwe ,basi muelewe wakati wenu ukifika wazalendo hawahawa watakuwa tayari kubackfire dhidi yenu kama hawakuridhika na uendeshaji wenu wa serikali,je serikali yenu itaweza kuvumilia na kuachia kama mliyoyafanya yafanyike ?
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Inapendeza sana kama haipiti siku bila kuitaja CHADEMA verry nice am proud of you keep it up. na hata kama ukiishiwa internet bundle nipm nitakutumia, maana nimegunduwa wewe ni mtu muhimu sana kwenye kuitangaza CHADEMA kila siku. once again THANK YUUUUUUUUUUU!
   
 3. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,503
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  :car:
   
 4. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,171
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  CCM dont undur estimet the people's power!
  SI MCHEZO.
   
 5. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Huo ushauri inaonekana umetumwa,au umelewa.
   
 6. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  mpambe wa mkwere na rostam, hatudanganyiki.
   
 7. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jk ataondoka kama Ben Ali.
   
 8. K

  Kide Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  tuwape kwanza hiyo nafasi cdm then ndo uje na topic yako,hata kama nyie ccm hamuwajibiki ndo wananchi tunyamaze?cdm mapambano yaendelee mpaka kieleweke...
   
 9. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  Non sense!!
   
 10. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Acha kutishia nyau watu wakubwa weweee.
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  inapendeza pia kuona serikali ya sisiem inatumia ideology ya CDM na kui modify ili iweze kukubalika
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  mumejaa hofu ya Tunisia na Egypt.
   
 13. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii inaonyesha ni kwa jinsi gani nguvu ya uma inawatisha na kuhatarisha maslah yenu.
   
 14. haibreus

  haibreus JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 296
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Unataka Umaarufu wewe!
   
 15. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Muflis mkubwa wee...
  kwanza hujui serikali ni nini. na unachojaribu kuwasilisha hapa ni mkusanyiko wa woga ambao viongozi wa CCM na serikali wanaojitahidi kuuficha bila fanaka.
  uliona mdahalo juzi ITV, Msekwa alipoambiwa 'hatuombi' ila 'tunataka' katiba mpya? alitoa macho! woga!
  ujue serikali ni umma...the govt of people tz..not rulers of tz..
   
 16. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  auaye kwa upanga atauawa kwa upanga,
  angalia madagascar.
   
 17. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa anaganga njaa. Anadhani akitoka kwa style hii ataonekana kwa mafisadi. Au ndio yule dogo wa UDOM nini?
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Ustaadh zungumza habari za CUF ndo tutakuelewa.
  Chadema in wasemaji wake, wanachama wake, wafurukutwa wake, mashabiki wake na wewe si mmoja wao.
  Cuf ndo inayokuhusu na kama umehama huko utakuwa umerudi ccm kwahiyo zunguimzia habari za cuf/ccm. Hata hivyo kwakuwa cuf imefunga ndoa na ccm basi hivyo ndo vyama unavyoweza kuvisemea.
   
 19. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu natoa mwito hamna haja ya kujibishana na mpumbavu watu wanawezashindwa kutofautisha,huyu mwiba ni mmoja wa wapumbavu,tusichangie post zake tena
   
 20. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nasisi wananchi tunasema, don't underestimate peoples power,it has happened in Tunisia,it is happening in Egypt and Yemen,it will happen here in Tanzania.And please don't ever say it again,we know what we are doing,we are rational people,we are not being used.That is an insult.
   
Loading...