Chadema, don't be sympathiser of your own enemy

Mbowe akijua umuhimu wa Slaa ulitaka ambebe mgogoni au ampigie magoti, Nyerere alipoondoka tulilia sana tukadhani ndio mwisho wa Tanzania, lkn nchi inasonga, siasa za Slaa zimeshapita ni ujinga kuendelea kumlilia kila siku, focus the future.
Ok. Endelea na ushabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka miaka ilee, Nasari alivyosema kuwa "KANDA YA KASKAZINI TUWE NCHI"
Mbowe akapunguza makali na kumuita Dogo Janja
 
Sijui kwa nini Nasari bado hajanishawishi.....

Haiwezekani asihudhurie vikao vya bunge zaidi ya 20 bila kulitaarifu bunge wala kuwa na sababu za msingi halafu aje na utetezi cheap kiasi hiki. Kwa hili Ndugai yuko sahihi ingawa amelifanya kisiasa.

Inawezekana CCM wamekuja kivingine ili Chadema wenyewe wawe watetezi wa adui wao wenyewe.

Chadema wakimtetea wajue wanatetea nyoka abaki chumbani. Mbona dalili zilianza kuonekana mapema?
Huyu dogo siyo kabisa.Ni nyoka wa kijani.

tapatalk_1553854447458.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwa nini Nasari bado hajanishawishi.....

Haiwezekani asihudhurie vikao vya bunge zaidi ya 20 bila kulitaarifu bunge wala kuwa na sababu za msingi halafu aje na utetezi cheap kiasi hiki. Kwa hili Ndugai yuko sahihi ingawa amelifanya kisiasa.

Inawezekana CCM wamekuja kivingine ili Chadema wenyewe wawe watetezi wa adui wao wenyewe.

Chadema wakimtetea wajue wanatetea nyoka abaki chumbani. Mbona dalili zilianza kuonekana mapema?
Naam! Umesema vyema
Chadema sijui kwa nini hawalioni hili
Huyu dogo knows the whole saga
Lema unasumbuka kumtetea huyu kirusi
Jipangeni upya
Next mchungaji... umegundua kitu kwa mchunga kondoo kimyaaa
 
Back
Top Bottom