Chadema, don't be sympathiser of your own enemy

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Sijui kwa nini Nasari bado hajanishawishi.....

Haiwezekani asihudhurie vikao vya bunge zaidi ya 20 bila kulitaarifu bunge wala kuwa na sababu za msingi halafu aje na utetezi cheap kiasi hiki. Kwa hili Ndugai yuko sahihi ingawa amelifanya kisiasa.

Inawezekana CCM wamekuja kivingine ili Chadema wenyewe wawe watetezi wa adui wao wenyewe.

Chadema wakimtetea wajue wanatetea nyoka abaki chumbani. Mbona dalili zilianza kuonekana mapema?
 
Huyo Nassari alishakula hela ya ccm, alichokuwa anafanya na kuandaa mazingira ya kufukuzwa. Mbowe itabidi ajilaumu sana kumpokea Lowassa. Kitendo kile ndio kimechangia huu mchezo wa kijinga ndani ya chama. Nitashangaa mwanacdm yoyote atakayetetea huo upuuzi wa Nassari.
 
Chadomo iloshajiondokea na dk slaa,!

Mngekuwa na intelijesia imara mngeshagundua mipango yote miovu. Hata ile ya Lowasa kurudi ccm mnheshagundua alafu mnamuwahi kumfukuza.

Lkn sababu chadema kila mtu ni kambale acha muendelee kushupaza shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuvunja chungu ili kumtoa panya mmoja ndani ya chungu, kiinamishe tu atatoka mwenyewe.
 
Nakakumbuka haka kajamaa kalivo bebwa na chadema 2010. .leo kanajiona bonge la mjanja. .....nimemdharau sana...

Hata kama ni usaliti angalia walipokutoa wengine. ..just from nothing with dirt against giants. .CCM yote na Lowassa wao na Wassira wao... just to break a career few years later...
 
Sijui kwa nini Nasari bado hajanishawishi.

Haiwezekani asihudhurie vikao vya bunge zaidi ya 20 bila kulitaarifu bunge halafu aje na utetezi cheap kiasi hiki.

Inawezekana CCM wamekuja kivingine ili Chadema wenyewe wawe watetezi wa adui wao wenyewe.

Chadema wakimtetea wajue wanatetea nyoka abaki chumbani. Mbona dalili zilianza kuonekana mapema?
Hahahaa....... Namuona Sioi pale Keko anachekelea tu!
 
Chadomo iloshajiondokea na dk slaa,!

Mngekuwa na intelijesia imara mngeshagundua mipango yote miovu. Hata ile ya Lowasa kurudi ccm mnheshagundua alafu mnamuwahi kumfukuza.

Lkn sababu chadema kila mtu ni kambale acha muendelee kushupaza shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli chadomo ilishaondoka na wewe bila shaka.
Ila CHADEMA ipo.
 
Back
Top Bottom