CHADEMA damu damu sisi vijana wa 1990s

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Hiki kitu kipo wazi,vijana tuliozaliwa kuanzia miaka ya 1990s asilimia 85 hawaikubali ccm hata kidogo

Wachache sana wanajitutumua kwa sababu ya wazazi wao wana maslahi ndani ya ccm

Ila kinachotuangusha tu ni kutopiga kura,ila amini usiamini asilimia 85 ya vijana wa Tanzania 1990 tunapenda vyama vya upinzani tena CHADEMA

Vijana ni hazina CHADEMA msiogope,tupo imara Musoma mpaka Songea,Kigoma mpaka Dar,Tanga mpaka Sumbawanga

Pamoja na mitihani yote ambayo CHADEMA wanapitia kwa sasa lakini amini usiami, mikutano mitatu ya vyama vya siasa ikaitishwa kwa muda mmoja mjini Kahama yaani CCM mtaa mwingine,NCCR Mtaa mwingine na CHADEMA mtaa mwingine

Hakika CHADEMA kitajaza,tena vijana imani yao ipo CHADEMA ,hiki chama hakiwezi kufa leo hata vijana wa Chato wanalijua hilo

Viongozi wa CHADEMA tambua hazina yenu ipo kwa vijana 1990s sekondari mpaka vyuo vikuu,wekezeni kwa hawa vijana na toeni elimu ya kupiga kura,amini usiamini hawa vijana wanaweza wakaleta mapinduzi makubwa kwenye hii nchi kupitia Sanduku la kura au Demonstrations kama hakuna haki

Hongera shule za kata

CCM kimebaki chama cha wazee
 
Uwo ndo ukweli Mimi mama yangu nidiwani wa ccm hila siwezi kuipigia kura yangu ccm ...sisi kinachotuyumbisha nikutopiga kura . .ccm nichama cha wazee.
Upo sahihi tatizo lipo kwenye kupanga foleni na kupiga kura kama vijana wakiweza hapo tu unajua ndio ccm ni wezi ila kura zikiwa nyingi hata kuiba inakua ni changamoto.
Vijana pigeni kura!
 
Acha kujidanganya. UVCCM ndio umoja pekee Tanzania wenye vijana wengi sana ambao wapo kwenye kundi la 1990 unaowasema lakini vyama vingine hadi vibabu wapo kwenye umoja wa vijana wa vyama hivyo

CCM ndio chama pekee chenye maslahi na matarajio ya kweli kwa vijana. Mfano, kwenye kipindi hiki Cha Corona UVCCM imekuwa mfano wa kubuni njia mbalimbali za kumkinga mtanzania dhidi ya maambukizi, hivyo usijidanganye kwa vijana hawaipendi CCM
 
Hii serikali ya kishetani inajua haya ndio maana haitaki uchaguzi haitaki tume huru wala haitaki katiba ya wananchi
 
Upo sahihi kabisa mkuu mkuu kuna haja kubwa sana ya chadema kulitambua hilo na kulifanyia kazi kwa haraka yaani hara kwa kuhamasisha kupitia mitandao ya sms, WhatsApp na telegram kwa kuwa na magroup kutoka kila kata na yanapa supply ya all infomation kutoka HO
 
Acha kujidanganya. UVCCM ndio umoja pekee Tanzania wenye vijana wengi sana ambao wapo kwenye kundi la 1990 unaowasema lakini vyama vingine hadi vibabu wapo kwenye umoja wa vijana wa vyama hivyo

CCM ndio chama pekee chenye maslahi na matarajio ya kweli kwa vijana. Mfano, kwenye kipindi hiki Cha Corona UVCCM imekuwa mfano wa kubuni njia mbalimbali za kumkinga mtanzania dhidi ya maambukizi, hivyo usijidanganye kwa vijana hawaipendi CCM

Hao wapo huko Uvccm kimwili tu, kwa ajili ya maslahi flani!
Lakini kiroho na kiakili wapo upinzani!
Halafu unachekesha kweli, hebu tuambie ni njia gani hizo vijana wa buku saba wamezibuni za kuzuia maambukizi ya corona...!??
 
Back
Top Bottom