Elections 2010 CHADEMA - Cost benefit analysis

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?
 
go to hell unataka za nini uliza za CCM WEMWEHU KABISA CANT YOU SIT AND THINK POSITIVE
 
kwani hii forum ilitengenezwa kwa ajili ya kuponda ccm na kuktetea chadema. tupeni majibu mimi naunga mkono hoja tupewe cost nina machungu ya kukesha kulinda kura ukonga
 
Umejiunga jana kuulizia gharama za chadema tu au?,kamuone msajili wa vyama Mr Tendwa ndiyo atapelekewa gharama hizo.
 
go to hell unataka za nini uliza za CCM WEMWEHU KABISA CANT YOU SIT AND THINK POSITIVE

Leteni data acheni longo longo ili tujue. CCM za kwao tumeisha ona wana faida kwani wana RAIS, Wabunge wa kumwaga na madiwani kibao. Leteni za Chadema sasa waungwana
 
hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za chadema walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?

kwanini usiende kumuuliza mkurugenzi wa uwt gharama za kuchakachua kura za wananchi. Mmeshatuibia kura zetu sasa mnakuja kujiunga kwa wingi jf kwa nia ya kutaka kutushawishi kuwa tumepoteza muda bure. Hiyo haiwezekani, wizi mliotufanyia ndio utakuwa chachu ya kuanza kupanga mikakati ya kuzuia wizi wa 2015 ili tusiwaachie watoto wetu taifa lenye wezi wa kura kama ninyi kama walivyofanya wazee wetu. Tazama join dat zenu mtagundua nia yenu.
 
Ha ha haaa! Jamani tafakarini kabla ya kujipa majina! GeniusBrain kweli ni TAAHIRA!!!:bowl:
 
kwani hii forum ilitengenezwa kwa ajili ya kuponda ccm na kuktetea chadema. Tupeni majibu mimi naunga mkono hoja tupewe cost nina machungu ya kukesha kulinda kura ukonga

ferds-cost zitajadilwa katika mikutano ya chadema, nani alikuambia kuwa hiki ni kikao cha chadema. Hao watu wa uwt wameshakuchanganya nini? Tazama join date zao ndio utagundua nia yao.
 
Maswala ya gharama ya za uchaguzi zimetoka wapi jamani, mbona hameleweki. Tunachozungumzia hapa ni haki ya mtanzania aliyepiga kura tarehe 31.10. 2010.
 
Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?
Akili -Mgando/Muozo.
Naogopa kuongea mengi zaidi kwa sababu najua una familia inakutegemea!
Kupewa zile truck-suit na vibaka wenzio ndo unaona maisha...bogus you!
I wanna Kill right Now!
 
kwanini usiende kumuuliza mkurugenzi wa uwt gharama za kuchakachua kura za wananchi. Mmeshatuibia kura zetu sasa mnakuja kujiunga kwa wingi jf kwa nia ya kutaka kutushawishi kuwa tumepoteza muda bure. Hiyo haiwezekani, wizi mliotufanyia ndio utakuwa chachu ya kuanza kupanga mikakati ya kuzuia wizi wa 2015 ili tusiwaachie watoto wetu taifa lenye wezi wa kura kama ninyi kama walivyofanya wazee wetu. Tazama join dat zenu mtagundua nia yenu.

Hujajibu swali, lete data ili tuone ulipokuwa walala macho kulinda kura na ulicho kipata vina wiana ? au HASARA MMEPATA NDIO MAANA MWAFICHA? CCM wao wameisha toa kuwa wana faida, CHADEMA je ?
 
:bowl:Inauma sana kuwa na Mgado wa kufikiria na kuona mbele. Tumerudi karne ya 15 Tz kwani Baada ya Kikwete rais atakayekuja Mtoto wa Mw au Lizi.... ni nchi ya usultani tupu baadaye March makam...... Ndicho CCM inachofurahia na wadao wake
 
Tangia awali Rais DR original alisema 5bil.Tsh inatosha Kukiweka pabaya CCM huna Kumbukumbu Kumbe
 
Hiyo dhuluma na umaskini mliotufikisha huoni unauliza data za CHADEMA ILI IWEJE inaonekana wewe ni mmoja wao. Ndg yangu usifikiri watu ni wajinga siku zote, huu ni wakati wa kujua ukweli. DATA: Campain Manager meli zake ziko Malasia na pembe zetu za ndovu, huyo ni msimamizi wa campain za mgombea! Upo hapo, watu tuna machungu saana. Tukianza kukupa data tutakesha, lakini hutakubali maana mmezoea kusema ni uwongo mpaka muonyeshwe makaratasi, Isue zote zinarudi bungeni kwa taarifa yako. Utasema tena. Wizi ni dhambi ya kukupeleka motoni, kama hujui. Hatutaki kizazi cha weziiii! TUMECHOKA BASI!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom