CHADEMA:chukueni haya kwa Faida yenu

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Tuhuma zinazotolewa dhidi ya zitto na wenzake kwamba wamenunuliwa na chama fulani cha siasa zinaitaji maelezo na vielelezo vya kina ili kuaminisha wengi.Nasema hivi kwa sababu historia Yao inadhihirisha kuwa wanauchungu na chama chao.chama kinachoongozwa kwa demokrasia na kinachotarajiwa kushika madaraka ya kuongoza nchi Lazima kionyeshe uwezo mkubwa wa kuvumiliana,kutafakari,kusamehe,kuaminiana na kujenga umoja wenye lengo la kuelekea kusudio lake"NUKUU
 
akili ya kuambiwa changanya na zakwako.
R.I.P Zitto and Co.
 
chadema ni dr Slaa,hivi kweli unaweza kumpa chama zitto kisisambalatike?ameonyesha ni mtu wa undergraound sana

viva chadema viva Mbowe,Slaa hata Sitta analijua hilo
 
Back
Top Bottom