CHADEMA charity begins at home....!

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Habari wakuu!

Niweke wazi kuwa mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA pia ni kijana ninayetamani kuona siku 1 taifa letu linakombolewa kutoka ktk mikono ya mafisadi kupitia CHADEMA. Lakini huwa sifurahishwi na tabia ya uongo uliokubuhu wa baadhi ya viongozi na wanachama wake ktk kuvumisha habari za uongo ili kuvutia watu au kudraw out attention ya watu ktk mikutano au shuguli mbalimbali za chama.
Mfano imekuwa sasa ni kawaida ya makamnda kutangizia watu kwenye mkutano fulani atakuwepo Lema, Zitto ama Mnyika lakin ukienda unakuta hamna kitu na badili yake either unamkuta ni katibu kata au wilaya ndio anamwaga sumu mwanzo mwisho na hakuna kiongozi yeyote yule wa kitaifa anayefika.

Pia ktk M4C jana startv hawakurusha matangazo lakini mwanzo tuliambiwa itarusha pia huo nao ni udhaifu ambao ni aibu kwa chama makini kama CHADEMA. Hata Yesu aliwahi kusema kuwa "Asiyekuwa mwaminifu ktkt mambo madogo hawezi kuwa mwaminifu ktk mambo makubwa"
 
Tatizo lako ni akili za samaki.swala mkutano mm naona hamna mantiki hpo kama mkutano wenyewe utafanyika kuhusu jana star tv mmiliki wake alitoa amri ya kutorushwa dakika za mwisho lakini ilifanyika kwa mafanikio makubwa M4c daima
 
Unapenda watu????
Unakipenda chama?????
Unapenda sera za chama????
Unapenda matangazo ya TV yenye content ya chama????
Unapenda mabadiliko????
Unapenda vuguvugu?????
Unapenda uanachama???
Unapenda kuonekana mwanachama???
Unapenda kuonekana kama mwanachama?????
 
Form 6 HKL Mimi sijakuelewa. Usije ukawa walewale wanaouma na kupuliza aka Ndumilakuwili. Au umeogopa ukisema wewe ni magamba great thinkers watakupotezea......
 
Last edited by a moderator:
At least mpaka sasa sina chama ninachokiamini, kila kimoja uchumia tumbo tu?
 
Mimi niliudhuria Gold crest jana ilikua poa sana. kamati waliaandaa noma majamaa kutoka Musoma walikuja full.
 
Back
Top Bottom