AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Habari wakuu!
Niweke wazi kuwa mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA pia ni kijana ninayetamani kuona siku 1 taifa letu linakombolewa kutoka ktk mikono ya mafisadi kupitia CHADEMA. Lakini huwa sifurahishwi na tabia ya uongo uliokubuhu wa baadhi ya viongozi na wanachama wake ktk kuvumisha habari za uongo ili kuvutia watu au kudraw out attention ya watu ktk mikutano au shuguli mbalimbali za chama.
Mfano imekuwa sasa ni kawaida ya makamnda kutangizia watu kwenye mkutano fulani atakuwepo Lema, Zitto ama Mnyika lakin ukienda unakuta hamna kitu na badili yake either unamkuta ni katibu kata au wilaya ndio anamwaga sumu mwanzo mwisho na hakuna kiongozi yeyote yule wa kitaifa anayefika.
Pia ktk M4C jana startv hawakurusha matangazo lakini mwanzo tuliambiwa itarusha pia huo nao ni udhaifu ambao ni aibu kwa chama makini kama CHADEMA. Hata Yesu aliwahi kusema kuwa "Asiyekuwa mwaminifu ktkt mambo madogo hawezi kuwa mwaminifu ktk mambo makubwa"