CHADEMA changamkieni hizo kura 9,000 za 2020

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,537
6,458
Ushauri kwa CHADEMA, changamkieni hizo kura elfu tisa (9,000) za wafanyakazi waliofukuzwa. Hata kama watakuwa kweli waligushi, ninyi nendeni kiakili na kiutaalamu wa namna ya how to win their hearts. Kura alfu tisa si haba ujue, na wote hao waliofukuzwa ni adults wenye uwezo wa kupiga kura. Hakuna hata mmoja aliyetumbuliwa ambaye ni under age.

Mkijiwekea kura hizo mfukoni, mtahitaji kura chache sana kuongezea 2020.
 
just try to imagine, hao wote 9000 wanaosimangwa na kuonekana vilaza kuliko bashite, sio watoto, kuna uhakika wote wanao uwezo kupiga kura kwasababu ni miaka 18 na zaidi. ukiishika mioyo yao vizuri, wote wakakupigia kura, utahitaji kazi ndogo sana 2020. hesabu ndogo tu hizo, na hamtakiwi kupoteza opportunity, whenever you get a chance umeletewa tonge mdomoni, tafuta namna gani utalibugia kiakili.
 
Ukianza kula nyama ya mtu hutaacha. Hili ndo linaua CDM yetu.

Wanapenda uchafu kuuita usafi na usafi na kuuita uchafu. Kuna wenye akili zetu. Peleka wazo hili kwa Kisandu ameanzisha chama chake cha briefcase.
inaua chadema? unataka hizo kura wachukue ACT? mkizubaa cuf au Act watachukua zote hizo. fanyeni hata kongamano, tena ninyi cdm mnao wanasheria wazuri wasaidieni hata kudai baadhi ya haki...kwasababu hata kama walikuwa vilaza sio kwamba walikuwa hawafanyi kazi, kuna jasho walishatoa hapo. ninyi muwaendee sio kuwalaumu kwa uovu, jifanyeni kuwa mnawasaidia kwa mlango wa nyuma.
 
Ushauri kwa chadema, changamkieni hizo kura elfu tisa (9,000) za wafanyakazi waliofukuzwa. hata kama watakuwa kweli waligushi, ninyi nendeni kiakili na kiutaalamu wa namna ya how to win their hearts. kura alfu tisa si haba ujue, na wote hao waliofukuzwa ni adults wenye uwezo wa kupiga kura. hakuna hata mmoja aliyetumbuliwa ambaye ni under age. mkijiwekea kura hizo mfukoni, mtahitaji kura chache sana kuongezea 2020.
On top of that kila aliyefukuzwa atawavuta kama 20, weka lengo kuwa kila mmoja awavute hata 100! Move now CDM!
 
cdm fanyeni kazi kwa akili, hata kama wamegushi vyeti kama hamtachukua kura hizo nitawashangaa sana. imagine unakuwa na uhakika wa watu alfu tisa wote wakupigie kura 2020, utakuwa umebakisha za wachache sana kuvuka lengo. kwani tunachohitaji ni nini? si kufika ikulu? hata kwa goli la mkono.
 
Kwani CDM ndo inataka waliochafuka? Huwezi wekeza kwa wenye makosa badala ya wenye sifa zao.

Unawezaje kumsimamisha mtu mwenye tuhuma lukuki kwa kuwe we tu mpinzani? Ukiwa na mtu wa namna hiyo atakusaidia vipi?
inaua chadema? unataka hizo kura wachukue ACT? mkizubaa cuf au Act watachukua zote hizo. fanyeni hata kongamano, tena ninyi cdm mnao wanasheria wazuri wasaidieni hata kudai baadhi ya haki...kwasababu hata kama walikuwa vilaza sio kwamba walikuwa hawafanyi kazi, kuna jasho walishatoa hapo. ninyi muwaendee sio kuwalaumu kwa uovu, jifanyeni kuwa mnawasaidia kwa mlango wa nyuma.
 
Ushauri kwa chadema, changamkieni hizo kura elfu tisa (9,000) za wafanyakazi waliofukuzwa. hata kama watakuwa kweli waligushi, ninyi nendeni kiakili na kiutaalamu wa namna ya how to win their hearts. kura alfu tisa si haba ujue, na wote hao waliofukuzwa ni adults wenye uwezo wa kupiga kura. hakuna hata mmoja aliyetumbuliwa ambaye ni under age. mkijiwekea kura hizo mfukoni, mtahitaji kura chache sana kuongezea 2020.

Unawaza kwa kutumia nn au umetumwa ww et
 
just try to imagine, hao wote 9000 wanaosimangwa na kuonekana vilaza kuliko bashite, sio watoto, kuna uhakika wote wanao uwezo kupiga kura kwasababu ni miaka 18 na zaidi. ukiishika mioyo yao vizuri, wote wakakupigia kura, utahitaji kazi ndogo sana 2020. hesabu ndogo tu hizo, na hamtakiwi kupoteza opportunity, whenever you get a chance umeletewa tonge mdomoni, tafuta namna gani utalibugia kiakili.
haya matonge hua yanakwama katikati ya koo, haliend halirudi.. dawa yake wakutie gumi la mgongo ndo uliteme
 
Kwa mafuriko ya moshi 2020 tuangalie idad ya kura kwa magufuli zitaongezeka pale au zitapungua
 
Unawaza kwa kutumia nn au umetumwa ww et
hao watu wote waliofukuzwa ni watz, wana familia, etc, hata kama walifanya hivyo wakipambana na maisha, ujue sasaivi wapo katika wakati mgumu sana kimaisha, kuna watoto watasitishwa shule sasaivi, kuna watu watakufa kwa pressure hapo. hivyo wanahitaji mfariji. don't condemn them moja kwa moja, huwezi jua kwanini walifanya hivyo. chadema chukueni hizo kura ni za bure mmeletewa na magufuli!
 
Kwani CDM ndo inataka waliochafuka? Huwezi wekeza kwa wenye makosa badala ya wenye sifa zao.

Unawezaje kumsimamisha mtu mwenye tuhuma lukuki kwa kuwe we tu mpinzani? Ukiwa na mtu wa namna hiyo atakusaidia vipi?
kwani mnachotaka ni nini? si kura au? acheni ujinga, chukueni hiyo fursa, sio kwa kusafisha uovu, ni kuwafariji na kuwin mioyo yao.
 
Ushauri kwa chadema, changamkieni hizo kura elfu tisa (9,000) za wafanyakazi waliofukuzwa. hata kama watakuwa kweli waligushi, ninyi nendeni kiakili na kiutaalamu wa namna ya how to win their hearts. kura alfu tisa si haba ujue, na wote hao waliofukuzwa ni adults wenye uwezo wa kupiga kura. hakuna hata mmoja aliyetumbuliwa ambaye ni under age. mkijiwekea kura hizo mfukoni, mtahitaji kura chache sana kuongezea 2020.
Unaonaje tukikupatia namba ya lissu umshauri mubashara. Tofauti na usiwafundishe hao chadema ni namna gani wajenge chama chao. Wewe si sehemu yao nina uhakika
 
Kwani CDM ndo inataka waliochafuka? Huwezi wekeza kwa wenye makosa badala ya wenye sifa zao.

Unawezaje kumsimamisha mtu mwenye tuhuma lukuki kwa kuwe we tu mpinzani? Ukiwa na mtu wa namna hiyo atakusaidia vipi?

Hujui unaloongea maana kura haina sura, iwe ya teja, mchawi, muongo,fisadi nk kura ni kura. Labda ungesema kwa cdm hii ya Lowassa hapo ungekuwa na hoja ya msingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom