CHADEMA chama chenye nguvu inayosumbua mafisadi na wasaliti

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Uimara wa CDM ndo unafanya vyama vingine na hasa tawala kuhaha na mambo ya ndani ya CDM, uvu ya CDM siomtu bali wananchi wenye uchu wa mabadiliko

Nguvu ya UMMA ni dhamana ya CDM, wapo wasaliti na wanahisiwa kuwa jirani sana na maadui wa Watanzania, waniunia nguvu za wezi namafisadi, lakin bila silaha ya moto kwa nguvu tu ya wananchi, CDM itaendelea kuwa tumaini la wanyonge TZ.

CDM mwendo mudundo, Mwanza, Kigoma, Lindi, Chunya na kwingineko CDM iko imara zaidi bila wasaliti.

Nawasilisha
 
Naona sasa mnajitekenya wenyewe hapa??

Hii sio dalili nzuri, watu kama nyie mtakuja kupata mimb.. kwenye mikono....
 
Msaliti yoyote hatua ya kwanza ni kusimamishwa, ili upembuzi uendelee, sasa mbwela za nini nyie tetea
 
Uimara wa CDM ndo unafanya vyama vingine na hasa tawala kuhaha na mambo ya ndani ya CDM, uvu ya CDM siomtu bali wananchi wenye uchu wa mabadiliko

Nguvu ya UMMA ni dhamana ya CDM, wapo wasaliti na wanahisiwa kuwa jirani sana na maadui wa Watanzania, waniunia nguvu za wezi namafisadi, lakin bila silaha ya moto kwa nguvu tu ya wananchi, CDM itaendelea kuwa tumaini la wanyonge TZ.

CDM mwendo mudundo, Mwanza, Kigoma, Lindi, Chunya na kwingineko CDM iko imara zaidi bila wasaliti.

Nawasilisha

Unaota ukiwa umelala au umesimama
 
Naona sasa mnajitekenya wenyewe hapa??

Hii sio dalili nzuri, watu kama nyie mtakuja kupata mimb.. kwenye mikono....

naona maamuzi magumu ya CHADEMA yanawaumiza kichwa sana ila nakushari usiwemgumu wa kufanya maamuzi magumu karibu CDM ingawa utaanza na kufagia fagia office si mbaya using,ang,anie chama ambacho mpaka sasahivi hajifahamu kimsimamishe nani kuwa mgombea uraisi coz mwenyenguvu ndie fisadi maarufu
 
hata ZZK anafahamu kuwa CDM ina nguvu sana ndo maana hataki kutoka hata kama unashukiwa na vitu vya ajabu sana, anajua hakiwezi kufa kwa pumzi ya SSM ndogo kama kutumia waliondani ya CDM kusaliti chama, ndo maana anasema atakuwa wa mwisho kutoka CDM, maana haoni CDM itayumba au kufa kwa lipi. Chama ni Wananchi na wanachama, sasa SSM itanunua nchi nzima???? tumuulize mtaalam wa nyukilia bilal, maana mkubwa hajui kwa nini tuko ktk hali hii
 
Ukizani unaakili sana na wewe sio mjinga kama wengine, jiulize umefanya mimi tofauti na hao wengine, kama hakuna wewe na wao ni sawa tu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom