Chadema chama cha msaada kwa wanyonge

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Chadema chama cha msaada kwa wanyonge,toka wametawala jiji la dar es salamu,tunaona wamachinga wanafanya kazi zao bila bugudha,toka chadema wamechukua dar es salam tunamuona makonda anavyobabaika,na kero za wana dar es salam kisanii na kimaigizo,ilimradi tu kurudisha imani ya wananchi kwa ccm,ambayo imejisahau,kuwa yenyewe,imeliongoza jiji la dar es salam,toka tupate uhuru,sasa ole wenu machinga,muwape kura ccm 2020,kwa sanaa hizi wanazo onyesha,hakuna rangi mtaacha kuona
 
Back
Top Bottom