USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,884
- 22,601
Miaka takriban 30 chama kinamtukia mtu huyo huyo aliyeishiwa mbinu kutoa mbinu mpya wakitegemea kushida chaguzi.
Misingi ya demokrasia ni pamoja na ukomo wa uongozi kikatiba ili kupata fikra mpya Rais Kikwete aliwahi kusema hivi ' ninaondoka chamani kama mwenyekiti ajaye aje na mawazo mengine mapya chama kisonge mbele' kwa muda ambao JK alimuachia chama na million 20 tu sasa chama kina zaidi ya billion 100+ na kushinda chaguzi zote kwa kishindo .
CHADEMA imejaa rushwa kwa mujibu wa viongozi kadhaa waliokikimbia chama hiki na kusema kinaendeshwa ki-dikteta japo kinaitwa cha demokrasia .
Kumekuwa na idadi kubwa ya wanachama na viongozi wanaofukuzwa pindi tu wakihoji katiba ya chama kufuatwa na matumizi ya pesa ya chama huku chama kkijiita cha demokrasia
Chadema sasa kiwambe wanachama na waingie mtaani wamtake mwenyekiti wake aliyekihodhi mamlaka kwa miongo mingi ajiweke pembeni chama kisonge mbele
Kun hoja ya kutumia demokrasia kuhoji matumizi ya chama kuelekea kukutana na Rais ili muwe wasafi kama CCM