CHADEMA! CHADEMA! Mungu anawaona lakini...!

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856
2,000
Juzi tulisikia huko Tabora Bwana fulani akiwaambia Wananchi kwamba Serikali imekosea badala ya kutatua kero ya Maji inanunua ndege! Inaweza kwa haraka haraka kuonekana na hoja miongoni mwa wenye akili nyepesi. Lakini kwa wanaotafakari kiuchumi zaidi wataona tofauti na hoja za Bwana huyo!

Juzi nikaambiwa na Mzee mmoja kwamba Bwana huyo aliwahi kuwa Serikalini wakati Serikali ikinunua ndege ya Serikali, Rada n.k lakini wakati huo hakujua kama kuna shida ya maji. Pia Mzee huyo akanidokeza kwamba Bwana huyo aliwahi kuwa Waziri Mkubwa na Waziri mwenye dhamana ya Maji na Mifugo, lakini wakati huo hakuona kama Tabora wana tatizo la Maji!

Huko huko kuna Bwana mwingine aliwahi kuwa Waziri mkubwa kwa miaka 10 lakini hakuona tatizo la maji huko Tabora na kwingineko mpaka alipokwenda upande uleeee! Yule Mzee akaniambia kwamba kijana wangu, ukiwa upande huu huwezi kuona mpaka uwe upande ulee! Amesema sababu za kuona vizuri ukiwa kule ni unafiki wa kutaka madaraka kwa gharama yoyote ikiwamo unafiki na kuwafanya watu wajinga! Unaigiza maisha yao ambayo hukuwaza hata siku moja kuyaonja lakini lengo likiwa ni kupata uungwaji mkono!

Utasema Serikali haijafanya chochote tangu tupate uhuru wakati unazurura kwenye Barabara zilizojengwa na Serikali na unalipwa mafao na Serikali unayoitukana! JAMANI! JAMANI! Mungu anawaona lakini kwa unafiki wenu!! Nchi haiwezi kutwaliwa kwa unafiki namna hii!! Mungu anawaona lakini!

Mlidandia hoja ya Katiba ya Wananchi kuombea kura na kwa kweli watu waliaminishwa kwamba mtapigania Katiba, lakini baada ya kuzoa viti vya Madiwani na Wabunge Ajenda hiyo ya Katiba haipo tena! Mungu anawaona lakini ooooh!
 
Katasheka jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
528
500

Hiyo ni Saccos ya kaskazini, wachumia tumbo tu!
 
UKAWA2

JF-Expert Member
Apr 22, 2014
2,195

Acha maneno,weka [HASHTAG]#Muziki[/HASHTAG] Au urudi utotoni,usipotembea utabebwa mgongoni.
 
Ndalama

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
8,793

Unatumia jina gani la kisanii kughani haya mashairi?
 
igp

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
839
500
Hivi unadhani kile ni chama cha siasa basi kumbuka hilo ni genge la wapiga dili tu.
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,608
2,000
-->>ukiwa upande wa c huwezi ona uchafu wowote / ili uone uchafu ni lazima utoke na uingie upande mwingine.
 
raia_mwema

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
481
250
Hiyo ni Saccos ya kaskazini, wachumia tumbo tu!
Ninyi endeleeni tu kupandikiza hiyo chuki, mwisho wa siku mtaona madhara yake, na usijidanganye yakitokea machafuko ya ukabila, udini au ukanda kama wewe utakuwa salama, unaona marekani chuki dhidi ya black people kinachowakuta leo hii?
 
mylife

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
308
250
Juzi tulisikia huko Tabora Bwana fulani akiwaambia Wananchi kwamba Serikali imekosea badala ya kutatua kero ya Maji inanunua ndege! Inaweza kwa haraka haraka kuonekana na hoja miongoni mwa wenye akili nyepesi. Lakini kwa wanaotafakari kiuchumi zaidi wataona tofauti na hoja za Bwana huyo!

Juzi nikaambiwa na Mzee mmoja kwamba Bwana huyo aliwahi kuwa Serikalini wakati Serikali ikinunua ndege ya Serikali, Rada n.k lakini wakati huo hakujua kama kuna shida ya maji. Pia Mzee huyo akanidokeza kwamba Bwana huyo aliwahi kuwa Waziri Mkubwa na Waziri mwenye dhamana ya Maji na Mifugo, lakini wakati huo hakuona kama Tabora wana tatizo la Maji!

Huko huko kuna Bwana mwingine aliwahi kuwa Waziri mkubwa kwa miaka 10 lakini hakuona tatizo la maji huko Tabora na kwingineko mpaka alipokwenda upande uleeee! Yule Mzee akaniambia kwamba kijana wangu, ukiwa upande huu huwezi kuona mpaka uwe upande ulee! Amesema sababu za kuona vizuri ukiwa kule ni unafiki wa kutaka madaraka kwa gharama yoyote ikiwamo unafiki na kuwafanya watu wajinga! Unaigiza maisha yao ambayo hukuwaza hata siku moja kuyaonja lakini lengo likiwa ni kupata uungwaji mkono!

Utasema Serikali haijafanya chochote tangu tupate uhuru wakati unazurura kwenye Barabara zilizojengwa na Serikali na unalipwa mafao na Serikali unayoitukana! JAMANI! JAMANI! Mungu anawaona lakini kwa unafiki wenu!! Nchi haiwezi kutwaliwa kwa unafiki namna hii!! Mungu anawaona lakini!

Mlidandia hoja ya Katiba ya Wananchi kuombea kura na kwa kweli watu waliaminishwa kwamba mtapigania Katiba, lakini baada ya kuzoa viti vya Madiwani na Wabunge Ajenda hiyo ya Katiba haipo tena! Mungu anawaona lakini ooooh!
Kuna thread humu ndani mheshimiwa Mwigulu ametuhasa watumiaji wa jukwaa kuandika bandiko tukiwa na data za kutosha... Sijui kama wewe pia umelisoma?
 
Katasheka jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
528
500
Ninyi endeleeni tu kupandikiza hiyo chuki, mwisho wa siku mtaona madhara yake, na usijidanganye yakitokea machafuko ya ukabila, udini au ukanda kama wewe utakuwa salama, unaona marekani chuki dhidi ya black people kinachowakuta leo hii?
Ina maana best huoni? Angalia top
Mbowe, Lowasa, sumaye, john Mrema
Vitu maalumu sumbawanga wote kutoka kuleeeee, wafipa walie tu!
 
Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856
2,000
Kuna thread humu ndani mheshimiwa Mwigulu ametuhasa watumiaji wa jukwaa kuandika bandiko tukiwa na data za kutosha... Sijui kama wewe pia umelisoma?
Data gani kwani wewe hukuangalia Televisheni Wazee wa Tabora wakilalamikia tatizo la Maji kwa Mgombea wa 2015 wa Chama kimoja? Au UKAWA hujui ilianzaje? Au hujui kwamba huko UKAWA kuna Mawaziri Wakubwa wawili na mmoja ameshawahi kuwa Waziri wa Maji na Mifugo? Umesahau hayo au umezaliwa juzi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom