Chadema bukoba bado wamo

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Baada ya kuona mkutano wa Wilfred Lwakatare aliokuwa akizungumza na wanachama wa Chadema kata ya Kashai mjini Bukoba nimeamini kwamba Chadema Bukoba mjini bado ni tishio kabisa. Angalia na picha hizi hapa chini:

IMGP2862 i.jpg

IMGP2863 i.jpg

IMGP2864 i.jpg

IMGP2866 i.jpg

IMGP2877 i.jpg

IMGP2879 i.jpg
 
Siku ya jumamosi chama cha wananchi cuf walikuwa na mkutano katika viwanja vya uhuru mjini Bukoba.
Kabla ya mkutano walifanya maandamano katika vitongoji vya mji wa Bukoba lakini nilivyoona mambo hayawaendei vizuri. Picha hizi hapa chini zinaonyesha picha kamili ya CUF walivyobaki Bukoba baada ya Wilfred Lwakatare kujitenga nayo


cuf 2010.jpg
cuf 2010 i.jpg

Na hii hapa chini inaonyesha maandamano ya CUF mwaka 2009 akiwapo na Wilfred Lwakatare kama kiongozi wao. Na ni siku hiyo aliyotangaza kujiondoa Cuf

IMG_5503.jpg

Need say more?
 
Kagasheki si kawaita wapinzani ma-kafr. Kwa utitiri huo wa watu inamaana Kashai wanaishi ma-kafr wengi?!
 
Siasa ni jinsi unavyoweza kuikonga jamii wakati huo. Pia na uono ama ushabiki wa mtu kwa Chama ama mtu/kiongozi/mgombea.

Hizi picha zimenikumbusha BK, hapo maeneo ya CRDB. Imenikumbusha pikipiki za kubeba abiria na Senene.
 
Mchukia Fisadi, unaweza kujua matokeo ya Serikali za mitaa Bukoba kwa kila chama. Kama unajua hebu tujuze.
 
Back
Top Bottom