Chadema bila kabwe inawezekana.

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
1,255
0
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikimsikia namna bwana mdogo Kabwe anavyojitukuza kwa kutaka kujiona ni maarufu kuliko chama. Nadhani pamoja na mambo mengine kinachomuumiza zaidi ni kitendo cha kupata wabunge wenzake vijana ambao ni machachari kuliko yeye.

Hapo awali alilewa sifa za kuitwa mbunge pekee kijana, sasa wapo vijana wengi ambao ni wadogo kiumri kuliko yeye na ni machachari zaidi yake.

Zitto ana mpango wa kukivuruga chadEma kwa maslahi binafsi. naamini hatua za kinidhamu alizochukuliwa kuvuliwa nafasi yake ya makamu mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni ni sahihi.

Lakini nashauri kamati kuu ya CHADEMA kama ikiona habadiliki wamfukuze uanachama. kwa kufanya hiyo automatically atakuwa amepoteza ubunge, then kama anataka aende akagombee kupitia hivyo vyama vinavyompa kiburi.


CHADEMA BILA ZITO INAWEZEKANA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom