CHADEMA: Benson Kigaila aongea na Wanahabari

N
Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila afanya mkutano na waandishi wa habari leo jumamosi tarehe 7 August 2021 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.

Ni aibu tupu kwa Siro, Polisi na uongozi wa juu wa nchi hii!
 
Zero atakufa kifo kibaya sana. Halafu alikuwa mtu mstaarabu sana ila tumbo limemgharimu sana huyu muzee!
 
Taarifa muhimu iliyotolewa na CHADEMA.

Ila sijui taarifa muhimu kama hizi zinawafikia vipi watu waTanzania wengi, pamoja na kwamba waliokuwa kwenye hadhara hiyo ni waandishi wa habari!

Hawa hawana wajibu wowote wa kueneza taarifa za chama kwa wananchi ili na wao wazielewe barabara kama zilivyowasilishwa na chama.
 
Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila afanya mkutano na waandishi wa habari leo jumamosi tarehe 7 August 2021 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.

Udhwalimu utashindwa. SSH, Simoni Sirro - habari ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom