CHADEMA Bahi imekufa rasmi. Ushahidi huu hapa...

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
227
597
COPPY AND PASTE..FROM MATHIAS LYAMUNDA ....BAHI DODOMA

Leo kwa utashi wangu MATHIAS LYAMUNDA mwenyewe na baada ya kutafakari kwa kina na kwa muda mrefu sana. Nimeamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Niwashukuru Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Bahi, kata ya Makanda, wajumbe wa halimashauri kuu ya kata ya Makanda kwa kunipokea leo. Ninawaahidi ushirikiano wa dhati katika kukijenga Chama chetu pamoja na nchi yetu, tukiongozwa na Rais wetu wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. Nimekuwa mwanachama wa Chadema toka mwaka 2010, Nimekuwa Mwenyekiti wa wilaya Bahi 2014, Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa, Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Bahi 2015
lyam.jpg
ly.jpg
 
Miaka yote tangia nizaliwe Bahi ilikuwa ni CCM lakini moto mwingine waja ngoja BAGBO Aafungue mikutano ya siasa uone.
 
Siamini katika kutanga tanga katika vyama, naamini mwanaume wa kweli uyatatua matatazo na si kuyakimbia,
Mfano upo kwangu siji kuhama CCM hata iweje,
Matatizo ya CCM tunayajua sana, tutayamaliza humu humu
 
Leo kwa utashi wangu MATHIAS LYAMUNDA mwenyewe na baada ya kutafakari kwa kina na kwa muda mrefu sana. Nimeamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Niwashukuru Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Bahi, kata ya Makanda, wajumbe wa halimashauri kuu ya kata ya Makanda kwa kunipokea leo. Ninawaahidi ushirikiano wa dhati katika kukijenga Chama chetu pamoja na nchi yetu, tukiongozwa na Rais wetu wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. Nimekuwa mwanachama wa Chadema toka mwaka 2010, Nimekuwa Mwenyekiti wa wilaya Bahi 2014, Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa, Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Bahi 2015View attachment 928626View attachment 928627
Uamzi mzuri kabisa
 
Mshamba huyo njaa yako ndio iue chama?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom