Chadema, bado mnaitegemea CCM kushirikiana nanyi kumuondoa Raisi wetu?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Chadema walikuwa wanaamini kabisa kwamba Wabunge wa CCM wataungana nao dhidi ya Raisi wa JMTZ ambaye pia ni Mkuu wa CCM!

Hapa ndipo nilipojua kwamba chadema inaongozwa na less intelligent people, badala ya kutumia muda wenu mwingi kujijenga kama Chama mnaishi kuitegemea CCM eti waungane nanyi dhidi ya Serikali ya CCM, na bado pigo kubwa klk linakuja muda si mrefu, endeleeni tu kushinda Mahakamani, ...
 
Back
Top Bottom