Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,739
Habari njema
Halimashauri ya jiji la Arusha linaloongozwa na CHADEMA limeshinda kesi ya mil 78 dhidi ya Barack printers kampuni inayomilikiwa na Moris Makoi diwani wa Moshi vijijini ccm.
Mahakama ya rufaa imeamuru kampuni hiyo kulipa halimashauri kiasi hicho cha fedha, itakumbukwa kuwa Barack printers moja ya kampuni za kitapeli za ndugu Moris Makoi ilipata tenda ya kukusanya ushuru wa maegesho jiji la Arusha kati ya mwaka 2011/2012, baada ya makusanyo ya parking kampuni hiyo haikupeleka fedha halmashauri badala yake ikakimbilia mahakamani.
Mwisho wa ubaya ni aibu
Updates****
Halmashauri ya jiji la Arusha Mjini imeomba hati ya kukamata maliza Barack Printers..