CHADEMA Arusha ‘’kwafuka moshi’’; Godbless Lema aambiwa hajitambui na hajui majukumu yake

Ndugu yangu, wewe bado, jitahidi, endelea kukomaa komaa. Ila kitu kimoja ulichodhihirisha ni kuwa hujui kitu, hujui chochote kuhusu CHADEMA. Yaani wewe ni chadema bora kuliko Selasini? Kuliko alivyokuwa Meya Kalisti? Wewe ni bora kuliko Bananga au kuliko alivyokuwa Makamu Mwenyekiti mzee Arfi? Masikini weeee, badala ya siasa, wewe unafanya hasira. Huu mchezo hautaki hasira!
Yaani wewe unajiona ccm kuliko Mwalimu Nyerere,Hallace Kolimba wewe kweli hujui kitu
 
Nimemsikia, alichosema ni ukweli mtupu na ukweli mchungu ambao kila uchao ninaendelea kuuzungumza hadi October 2020

P
Chadema sikio la kufa ..... kiukweli inasikitisha sana. Kama ngome inabomoka Arusha maana yake huko kwingine kumeshabomoka ni muda tu unasubiriwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom