Chadema Arumeru yajerwa na uzushi wa mwenyekiti wake kuuawa

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Chadema wilaya ya Arumeru imekanusha uvumi unaoenea mitandaoni kuwa mwenyekiti wake wa wilaya Gabriel Mwanda ameuawa kikatili.

Taarifa hizo si za kweli kwani aliyesambasa taarifa hizo anajaribu kulihusisha na tukio la kuuawa kwa kukatwa shingo aliyekuwa mwenyekiti wa kata ya Usa River Msafiri Mbwambo lililotokea mwaka 2012 wakati wa uchaguzi wa marudio katika jimbo la Arumeri Mashariki.
 
Back
Top Bottom