Chadema Arumeru na Ligi ya Mpira wa Miguu

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Chadema Arumeru ni mfano wa kuigwa kwa kuanzisha Ligi ya Mpira wa Miguu.Hongera Mbunge Mh Joshua Nasari Mungu atakulipa kwa moyo wako wa kusaidia vijana.KILEWO,NASARI NA KOMBE WAWASHA MOTO Arumeru vijana wapo tayari kuzuia malipo ya Dowans.
 
Duh!!!
 
Hongereni makamanda,Viva Chadema..kwani Joshua Nassari ndo mbunge wa arumeru mashariki?
 
Hivi mbunge Jeremia Sumari amepona au bado mgonjwa?kanini asijiuzulu wadhifa wa kibunge kama bado anaumwa!!!!!Hongera Nassari kwa moyo wako wa kizalendo na kuwa karibu na vijana
 
Hongereni makamanda,Viva Chadema..kwani Joshua Nassari ndo mbunge wa arumeru mashariki?

Nasari ndiye aliyeshinda uchaguzi ila nec wakamtangaza Sumari. Sumari alianza kuugua kabla ya uchaguzi hadi leo. Hata kuapishwa bado wala hajatia mguu dom tangu mwaka jana!
 
Nassari, kura yangu ya Ubunge mpaka leo sijutii kukupa najivuna kukupa kura yangu japo magamba walichakachua...
 
Nasari ndiye aliyeshinda uchaguzi ila nec wakamtangaza Sumari. Sumari alianza kuugua kabla ya uchaguzi hadi leo. Hata kuapishwa bado wala hajatia mguu dom tangu mwaka jana!

Philip vipi mkuu, hiyo Jimbo naona wanatucheleweshea tu,

vipi mkuu uko A town au Dar?
 
Back
Top Bottom