CHADEMA acheni woga na kutafuta huruma, nini maana ya matumizi ya maneno haya?

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.
 
nyie ndio mnaotuharibia chama chetu...
every day blah blah...!come on!
 
CCM magaidi na walipua mabomu,leo taifa stars tungeshinda wangempa kinana namba safu ya ushambuliaji ili kuwang'oa pembe Tembo (Ivory Coast)
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

Tumeamini CCM ni chama cha wauwaji, Kuona inaenda kupoteza kata basi wameamua kufanya fujo katika kata hizo. We angalia huko Makuyuni kwa kuvamiwa Nasari Je ni nani mpaka sasa anashikiliwa kwa vurugu?, Huko sengerema ndio usisema maana Ofisi yasisiem imegeuka kuwa kituo cha polisi na lupango, Huko Minepa ulanga nako makada wa chadema wamepigwa lakini ni nani anashikiliwa mpaka sasa. Hii ni dalili tosha kuwa CCM ni chama kinachoongoza kwa kubebwa na vyombo vya usalama.

Acheni kujifariji kuwa wananchi bado wanawapenda, ni fujo na kutoboresha daftari la mpiga kura ndicho kinachowabeba. We ona huko baada ya OCD kukataa kutoa askari DC kaamua kuchukua askari magereza na kushika makada wa chadema na kuwafungia ofisi za CCM badala ya kuwapeleka kituo cha polisi.
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

550700_466943490003096_1121483817_n.jpg
 
Hivi Mzee unajua kila binadamu atakufa.....wewe unajiona mwamba sana...nakuona unaongea kama huogopi kitu....MUNGU HATANIWI MAZEE
 
Nyie cdm vp mnalalamika kama tusichana twa kindagate. Mnataka huruma ya watanzania. Mchezo wenu tushaugundua, na kura hampati vurugu mnazfanya wenyewe then mnskuja kujambajamba hapa jf.
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

Kila kitu kwako ni siasa naomba utumie akili kidogo tu kwa wakati. Watu wamelipuliwa na mabomu kwenye mkotano wa kisiasa na hakukua na vurugu yeyote na sasa badala ya kufikiria demokrasia na kutoa pole unataka kugeuza kwamba eti waliolipuliwa wanahitaji huruma. Kitu ambacho uelewi Tanzania inaenda pabaya kwenye dini, siasa, ufisadi na tatizo kubwa ni kwamba kuna watu wa serikalini na mafisadi wanaamini kwamba Tanzania haiwezi kubalika.Tanzania imeshabadilika na haitarudi nyuma na mabomu yatatisha lakini hayatabadilisha moyo. Hata wakoloni walikuwa wanafikiria kama wewe.
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

Kila hoja zako zimekua za ufedhuli na dhihaka, km wewe ni msomi basi ulipendelewa na waalimu au uliibia sana darasani.... Leo ktk Tanzania hii udogo wa maono km yako ndio dira ya taifa letu, kwa bahati mbaya sana wanaCCM wengi wenye vyeo ndio km wewe....ni kundi linalotaka tuamini UJINGA... ndiyo busara ya leo, maana ya fujo ni kufanya jambo kinyume na katiba ya nchi .... wewe ktk siku za karibuni ulishawahi kusema ... ni jambo la dharau kutoka ktk hotuba ya rais... wewe ni msomi wa aina gani kutojua katiba haikatazi kufanya hivyo? je kama hili dogo hivi linakuyatiza kulijua je ni mangapi usiyoyajua? Wewe ni muumini wa Ujinga-busara ndio maana hauthubutu kuongea busara hata kidogo
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

Inawezekana biashara unayofanya ni kuuza kama sio bangi basi ni viroba.Hueleweki bila shaka ulitoroka hospitali maalumu Dom.
 
Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?
.
Kumbe kauli hii inawachoma eeh?
Ni kawaida Shetani ukimtajia Jina La Mungu Anazimia!
Tutaendeleza sana msemo huo.
 
CCM na nyinyi anzeni kusema ''CCM TUMEANZA NA PESA NA TUNAMALIZA KWA KUUA''

CCM mna roho mbaya kuliko za wachawi.
 
Nyie cdm vp mnalalamika kama tusichana twa kindagate. Mnataka huruma ya watanzania. Mchezo wenu tushaugundua, na kura hampati vurugu mnazfanya wenyewe then mnskuja kujambajamba hapa jf.

kama siasa za tanzania zimefikia kulipuana mabomu na kisha kupigwa risasi lakini bado mtanzania akaweka ushabimi wa kipymbavu napata shida sana mapenzi yako kwenye taifa hili kwani ili chadema kwebda sambamba na ccm,inabidi chadema nao wakanunue mabomu alionunua kinana huko china, bastola na smg, unaweza ukaona kama ni vigumu sana cdm kupata vitu hivyo lakini nikuhakikishie ni rahisi sana kama chama kingekuwa kinapenda kwenda ikulu kwa njia hiyo..tuliamini mikiki itakuwa ni ya makwaani na mabomu ya macho na siyo kilichotoke juzi..kama una utu kwa kilichotokea juzi hakuna mtanzania angeshabikia na hilo likadi la kihani ungesha chana kama wakazi wa elerai shuleni walio kusanyika na kuchana kadi za ccm..
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

mwambie aliyekutuma ashindwe na alegee sehemu zote, kama wewe huna hofu na Mungu kafie mbele...! Nyie ndio mnaochochea uvunjwaji wa amani nchini!!!!!!!
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

Watu wanauliwa unafanya mzaha?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom