CHADEMA acheni woga na kutafuta huruma, nini maana ya matumizi ya maneno haya?

Hakika hamy d wewe ndie haswaa wakala wa mashaitwan wa kijani ambao siku zote wamekuwa wakisema cdm ni chama cha wakristo na cuf cha waislamu! Mmechagua kuzimu na ndilo fungu linalowafaa kwenda kusheherekea moto na mashaitwan wengine wa kijani waliotangulia huko!
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

WEWE NI MAV. TU HEBU SOMA HII TAARIFA. Mwigulu Nchemba liyowaambia wakazi wa Kimandolu kuwa wasipoichagua CCM katika uchaguzi wa madiwani wa Jiji la Arusha ulioahirishwa jana, watakufa.
 
Mkuu, furaha yangu ni kwamba wananchi watanzania wana chujio imara, yani wamechuja wakaona acha CCM ipite ila CHADEMA wakawa na shaka nayo wakatupa kule. Uchaguzi wa kata umewatia chadema pressure kubwa, sasa hivi wana jadili hasara ya pesa waliyo ipata, kwani mradi ume-fail.

Their failure is a sustained course given their poor political strategy! They are very violent and divisive. No one, no one at all is going to accept such kind of politics. Shame on them! Ngoja nirudi dar nikapumzike, tumeshinda kata za kutosha.
 
Back
Top Bottom