CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
Wasanii ni wale "wavuruga chaguzi" na kutoa taarifa potofu kuwa uchaguzi ulikuwa wa HAKI,SAWA NA HURU!
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
Polisi kazi yao kubwa ni kupambana na CHADEMA
 
Back
Top Bottom