chadema acheni tabia za bongo fleva | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema acheni tabia za bongo fleva

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by aikaruwa1983, Jul 24, 2011.

 1. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,187
  Trophy Points: 280
  wana Jf nimetoka kwenye mkutano wa Chadema maeneo ya Tabata Liwiti....lengo hasa la mkutano ni Dr Slaa kuja kuushukuru umma kwa kumchagua ingawa ndio hivyo.......ila cha kushangaza ni pale Anko Mpendazoe alipouambia umma kwamba Dr hataweza kufika yuko hosp na mama(mchumba) wakisharekea kupata baby boy!!!! ushauri wangu ni kwamba wangesema toka mwanzo coz toka saa sita mchana taarifa za kuzaliwa huyo baby boy wanazo so inakuwaje watutangazie mwishoni mwa mkutano............ukweli nimekumbuka huku ushwailini kwetu hasa wakati wa sikukuu tunatangaziwa majina ya wasanii wakubwa watafika huku ila lengo ni kuvutia watu waje then tunaambulia kuimbiwa na upcoming artist.......cdm angalieni tusiwachoke kwa hilo
   
Loading...