CHADEMA acheni porojo na siasa za matukio. Fanyeni siasa za kisayansi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Screenshot_20210612-160746.png
 
Waliokuwa bize kuuwa upinzani na wapinzani wamekufa wao, wengine wapo jela kina Sabaya, wengine wakichezea utumbuzi, bashiru polepole kange wamepotea kabisa huku upinzani ukiwa imara.Badala ya kuuwa upinzani wamekufa wao kimwili na kisiasa.
 
Mkuu naomba nitajie aliyekufa na alikua na motive ya kuua upinzani please
 
Tatito CDM wapigaji wengi, na viongozi wao ni wakuokoteza okoteza! Kuna kabinti kanaitwa Aisha kapo Dom, kanajiuza uza tu kwenye mabar, ila wakampa ugombea ubunge na sasa ni kiongozi, makao makuu kama Dodoma mnaokota mtu haeleweki kimaadili na kumpa uongozi??!! Ila ukiwaambia ukweli wanakuita CCM/mataga na majina yao ya ajabu ajabu. Mtu kama Katambi Mbowe akamwekea kifua awe mkiti wa Bavicha, mtu ambaye maisha yake ya ukubwani kayatumia kufanya kazi chini ya mkiti wa CCM Mwanza, matokeo yake yanajulikana!!
 
Utafanya kitu bila kianzio?Halafu hutaki hayo "matukio" yafanyiwe kazi ili uanze kulalamika ..."mbona wapo kimya tu hawa wakinzani"...?Huwa mnayatafakari mnayoandika au kuongea kweli! Another laughter!😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Waliokuwa bize kuuwa upinzani na wapinzani wamekufa wao, wengine wapo jela kina Sabaya, wengine wakichezea utumbuzi, bashiru polepole kange wamepotea kabisa huku upinzani ukiwa imara.Badala ya kuuwa upinzani wamekufa wao kimwili na kisiasa.
Hapa kilicho baki wamrudie Muumba wao kwa dhati ya mioyo yao hata waiepuke adhabu kwa uovu waliotenda,ama wanaowaza kuutenda bado.
 
Upinzani unahitaji kubadilika.

Wananchi, ambao ndio wapiga kura, wanahitaji wanasiasa wenye kauli na vitendo vinavyoshughulikia kero na mahitaji yao.

Wanasiasa waimbao Demokrasia, Haki na Uhuru, lengo lao kuu ni la uroho wa madaraka.

Kama ni demokrasia, mwananchi hushiriki kumchagua mwakilishi wake. Kama ni Haki na Uhuru, ndio misingi inayomwezesha kushiriki kumchagua mwakilishi na kuhudhuria vikao ambavyo hupata nafasi ya kutoa mawazo yake
 
Uliwahi kuuona huo uhuru na haki katika chaguzi hizo,hasa za msimu wa hivi karibuni,ndio maana wenye mawazo mbadala kila mara wanajaribu kuwa kumbusha umuhimu wake,kama hata wewe bado hujawaelewa ni matatizo yako binafsi,wenyewe wametekeleza wajibu wao.
 
Uliwahi kuuona huo uhuru na half katika chaguzi hizo,hasa za msimu wa hivi karibuni,ndio maana wenye mawazo mandala kila mara wanajaribu kuwa kumbusha umuhimu wake,kama hata wewe bado hujawaelewa ni matatizo y'all binafsi,wenyewe wametekeleza wajibu wao.

Umewahi kushiriki kikao hata kimoja cha Serikali za Mitaa, Diwani au Mbunge ukachangia hoja, au ulifukuzwa? Kama hukufukuzwa na ukapata nafasi ya kutoa hoja, kama tufanyavyo humu jukwaani, ulifuatilia hatima ya hoja yako? Au unasubiri huyo mwanasiasa akafuate?

HIYO NDIYO DEMOKRASIA, HAKI na UHURU. Usibaki kulalamika kwa sababu mwanasiasa wako siyo mwakilishi katika vikao vya maamuzi
 
Mbona ripoti ya CAG haionyeshagi kama ni wapigaji, na lini chadema wameshika serekali mpaka uwatuhumu ni wapigaji
 
Sasa kama wanafanya siasa za kijinga si ndiyo vizuri ili CCM muwashinde kwa kishindo?Sasa kwa nini tena waache wakati ina faida kwenu CCM?
 
Ilisikika sauti ikisema"ikifika 2020 tahakikisha upinzani umekufa kabisa" kiunabii ni kinyume chake
Kama ni sauti bas tusiamini sana sauti zipo nyingi hata chalamila sauti yake ilisikika na ndo imetumika kumtumbua
 
Shaka UNAAMURU,UNAONYA AU.
TULIA WALIKUWEPO WATU MAARUFU CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom