Mimi sijaelewa ndugu,ongezea nyama nyama,hata tuweze elewana.
Mkuu naomba nitajie aliyekufa na alikua na motive ya kuua upinzani pleaseWaliokuwa bize kuuwa upinzani na wapinzani wamekufa wao, wengine wapo jela kina Sabaya, wengine wakichezea utumbuzi, bashiru polepole kange wamepotea kabisa huku upinzani ukiwa imara.Badala ya kuuwa upinzani wamekufa wao kimwili na kisiasa.
Hapa kilicho baki wamrudie Muumba wao kwa dhati ya mioyo yao hata waiepuke adhabu kwa uovu waliotenda,ama wanaowaza kuutenda bado.Waliokuwa bize kuuwa upinzani na wapinzani wamekufa wao, wengine wapo jela kina Sabaya, wengine wakichezea utumbuzi, bashiru polepole kange wamepotea kabisa huku upinzani ukiwa imara.Badala ya kuuwa upinzani wamekufa wao kimwili na kisiasa.
Upinzani unahitaji kubadilika.
Uliwahi kuuona huo uhuru na haki katika chaguzi hizo,hasa za msimu wa hivi karibuni,ndio maana wenye mawazo mbadala kila mara wanajaribu kuwa kumbusha umuhimu wake,kama hata wewe bado hujawaelewa ni matatizo yako binafsi,wenyewe wametekeleza wajibu wao.Upinzani unahitaji kubadilika.
Wananchi, ambao ndio wapiga kura, wanahitaji wanasiasa wenye kauli na vitendo vinavyoshughulikia kero na mahitaji yao.
Wanasiasa waimbao Demokrasia, Haki na Uhuru, lengo lao kuu ni la uroho wa madaraka.
Kama ni demokrasia, mwananchi hushiriki kumchagua mwakilishi wake. Kama ni Haki na Uhuru, ndio misingi inayomwezesha kushiriki kumchagua mwakilishi na kuhudhuria vikao ambavyo hupata nafasi ya kutoa mawazo yake
Uliwahi kuuona huo uhuru na half katika chaguzi hizo,hasa za msimu wa hivi karibuni,ndio maana wenye mawazo mandala kila mara wanajaribu kuwa kumbusha umuhimu wake,kama hata wewe bado hujawaelewa ni matatizo y'all binafsi,wenyewe wametekeleza wajibu wao.
Wanapewa adhabu duniani na mbinguni piaHapa kilicho baki wamrudie Muumba wao kwa dhati ya mioyo yao hata waiepuke adhabu kwa uovu waliotenda,ama wanaowaza kuutenda bado.
Ilisikika sauti ikisema"ikifika 2020 tahakikisha upinzani umekufa kabisa" kiunabii ni kinyume chakeMkuu naomba nitajie aliyekufa na alikua na motive ya kuua upinzani please
Kama ni sauti bas tusiamini sana sauti zipo nyingi hata chalamila sauti yake ilisikika na ndo imetumika kumtumbuaIlisikika sauti ikisema"ikifika 2020 tahakikisha upinzani umekufa kabisa" kiunabii ni kinyume chake
Labda wwe ni mgeni wa mji hio sauti KILA mtu aliisikiaKama ni sauti bas tusiamini sana sauti zipo nyingi hata chalamila sauti yake ilisikika na ndo imetumika kumtumbua