MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Hivi mlipomtuma huyu mtu mlitegemea nini?
Yeye anapanda kwenye jukwaa na kuanza kutoa historia ya Uchaguzi Mkuu 2015 wakati kazi iliyomfikisha hapo ni kumnadi mgombea Udiwani katika uchaguzi mdogo.
Mwambieni hata salamu ya Lowassa Mabadiliko, Mabadiliko Lowassa aachane nayo kwa sababu ameshindwa hata kuleta mabadiliko.
Salamu ya CHADEMA ni ''People, Powerrr'' na sio Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko.
Sitaki kuongea mengi, angalieni hii video;